Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
View attachment 38265
Kelele za mlango hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi (msemo wa kiswahili)!
Kelele za mlango hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi (msemo wa kiswahili)!
Ndo maana ya upaparazzi hiyo. Wewe kalagabaho!Umejuaje mambo ya ndani namna hii?? Nani alikuingiza humo ndani mpk ukapiga na picha kabisa eeeh...???
acheni uongo, hicho ni kitanda cha Prince wa Saudi Arabia. Ningekuwa kwenye PC ningewatumia picha za crib yake.
Askari Kanzu amedanganya. Kama anadhani kaongea ukweli atupe source ya uhakika.
duh...wengine huwa tunajisetiri tu asubuhi ifike...
Wewe Tomaso ni tuu machi. Haya, hebu bofya hapa afu endelea kubisha!Unawezaje kuthibitisha kuwa hiki kitanda ndicho anacholalia Mugabe? Tupe picha hiyo ni kwa hisani ya nani?