Namba ya simu...basi wako vizuriSafi mkuu kwa wema wako, ila vitambulisho vya UDSM vina namba ya simu ya mwenye Kitambulisho kwa chini, jaribu kumtaarifu.
Kweli asee wako vizuri.Namba ya simu...basi wako vizuri
HahahahahahaWapo mlimani city, kwenye fresher party. Peleka pale wakitangaze...
Uyo leo kakosa freshers ya makonda bila kitambulisho haingiiJina la kitambulisho AHMAD, Hussein. Sambaganya
Programme: B.A with Education
Chuo: University of Dar es salaam
College: CoHU
Kwa anayemjua Tuwasiliane 0784202710
Yours' Faithful, MUOKOTAJI
Hahah ataingia... ila bila ID hataweza kufanya shopping kwa Discount speshelii ya wanafunzi...Uyo leo kakosa freshers ya makonda bila kitambulisho haingii
Namba anapoke mtu mwingine kabisa, na wala hamujui huyo mhusikaSafi mkuu kwa wema wako, ila vitambulisho vya UDSM vina namba ya simu ya mwenye Kitambulisho kwa chini, jaribu kumtaarifu.
Housegirl wa nyumba ya jirani alienda,ye Kitambulisho alitoa wapi?Uyo leo kakosa freshers ya makonda bila kitambulisho haingii