Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,103
- 16,148
Ni mbwembwe tu za kuvutia watejayaah nimeziona zote YouTube mkuu
hivi ile ilikuwa ni kweli au walikuwa wana act before wanapanga kila kitu?
'Wakati huo, Putin yuko bize ......' (Nashindwa kuendelea kurudia kilichoandikwa).Hebu tujulishe sehemu gani imetumika lugha ya hovyo hapo mkuu?