Kitambulisho cha Vladimir Putin akiwa jasusi wa KGB chapatikana Ujerumani

Sijawahi kuhitaji mwl katika maisha yangu, sitahitaji kiongozi katika maisha yangu.

Najiongoza mwenyewe. Kama uliishi kwenye misingi ya hao nyani basi watukuze nyani wako.
Umevuka mipaka, huwezi kuwaita binadamu wenzio nyani kisa huyo mwanao kuitwa Vladimir, kwa taarifa yako Vladimir tafsiri yake ni sokwe.
 
Putin alisoma Kijerumani kama lugha ya pili na A-level alipata alama ya A katika mtihani wa somo hilo.

Kazi yake ya kwanza kama afisa usalama ilikuwa kuchunguza mienendo ya maofisa wote wa ubalozi kutoka nchi nyingine Moscow kabla ya kupandishwa cheo na kwenda Ujerumani Mashariki.

Akiwa Ujerumani Mashariki, wakati wa kubomoka kwa ukuta wa Berlin, Putin alishindwa kuondoka na sanduku la siri za Soviet Union. Aliamua kulichoma moto, sanduku hili lingepatikana lingeiacha Urusi bila nguo.

Kitendo hiki kililimpa Putin sifa ya u commander.
 
Umevuka mipaka, huwezi kuwaita binadamu wenzio nyani kisa huyo mwanao kuitwa Vladimir, kwa taarifa yako Vladimir tafsiri yake ni sokwe.
Yah Vladimir maana yake ni sokwe!
Screenshot_20181215-195029.jpeg
 
Back
Top Bottom