Jagood JF-Expert Member Aug 15, 2016 2,141 2,390 Jun 11, 2017 #1 Msaada nawezaje kupata kitambulisho cha utaifa kipindi hiki ambapo uandikishaji umeisha au nakala inayoweza kunitambulisha?
Msaada nawezaje kupata kitambulisho cha utaifa kipindi hiki ambapo uandikishaji umeisha au nakala inayoweza kunitambulisha?
Paradisehome Senior Member Sep 3, 2017 145 143 Oct 15, 2017 #2 Aisee na umepuuziwa kweli,wandugu hawajasaidia ombi lako, Ebu vuta subira uone