Mwambwaro
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,559
- 2,275
shukran mkuu ntafatiliaNenda kwenye ofisi zao wilayani kwako, utapewa. Waambie kuwa ulishajiandikisha na kupigwa picha
shukran mkuu ntafatiliaNenda kwenye ofisi zao wilayani kwako, utapewa. Waambie kuwa ulishajiandikisha na kupigwa picha
Nenda ofisi za NIDA watakupatia utaratibu wa ku-renew 1 police loss report 2 andaa 20,000 ambazo watakupatia ac. ya kudeposit.Nami nimepoteza nikapewa utaratibu huo.Mimi Sina hata kitambulisho nitakipataje wadau nimewahi kwenda pale tabata shule kwenye ofisi zao wakadai kwamba zoezi kwa dar es salaam limesitishwa ilikuwa mwaka jana.mpaka Sasa sielewi niende wapi utaratibu wake ukoje
Chizi ni huyo rais wako..We chizi achana na mimi
Mimi Sina hata kitambulisho nitakipataje wadau nimewahi kwenda pale tabata shule kwenye ofisi zao wakadai kwamba zoezi kwa dar es salaam limesitishwa ilikuwa mwaka jana.mpaka Sasa sielewi niende wapi utaratibu wake ukoje
Mwaka na miezi 5Huku Arusha tunamaliza mwaka sasa hakuna jipya na tulishajiandikisha na kupigwa picha ila Bado havijatoka