Kitambulisho cha Taifa

Mimi nilienda serikali ya mtaa kwaajili ya utambulisho ili niende Nida,jamaa kaniambia nimwachie hela ya maji akawape kamati ya ulinzi na usalama ili nijadiliwe kama nipewe au laah,nikaondoka sikurud tena haiwezekan fedha yang ihudumie watu wasiojielewa.
 
Mimi Sina hata kitambulisho nitakipataje wadau nimewahi kwenda pale tabata shule kwenye ofisi zao wakadai kwamba zoezi kwa dar es salaam limesitishwa ilikuwa mwaka jana.mpaka Sasa sielewi niende wapi utaratibu wake ukoje
Nenda ofisi za NIDA watakupatia utaratibu wa ku-renew 1 police loss report 2 andaa 20,000 ambazo watakupatia ac. ya kudeposit.Nami nimepoteza nikapewa utaratibu huo.
 
Nahitaji na mimi icho kitambulisho sina kabisa(sikujiandikisha) na saivi nimepoteza vitambulisho vingine vyote nimebaki na pumbu tu zinanitambulisha mi ni mwanaume.

Msaada utaratibu wa kujiandikisha.
 
Ni vyema ukiwa na ID kama Driv' Lice'na National ID utengeneze PVC copy ndio uwe unatembea nacho kuepusha cost na usumbufu.
 
Kazi na Bata
Mimi Sina hata kitambulisho nitakipataje wadau nimewahi kwenda pale tabata shule kwenye ofisi zao wakadai kwamba zoezi kwa dar es salaam limesitishwa ilikuwa mwaka jana.mpaka Sasa sielewi niende wapi utaratibu wake ukoje
 
Kule makao makuu ya nida ukienda wanakwambia umeme hamna,mara jenereta haina mafuta,visingizio kibao ikiwa nguzo ya umeme imepita hapo hapo.Hovyo sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom