Kitambulisho cha bima ya afya

General_cholo

Member
Jan 28, 2015
19
1
Kwa anayefahamu, taratibu za kupata kitambulisho kipya cha bima ya afya NHIF kama umepoteza cha zamani. Msaada plss ( aliyepoteza ni tegemezi)
 
Kwa anayefahamu, taratibu za kupata kitambulisho kipya cha bima ya afya NHIF kama umepoteza cha zamani. Msaada plss ( aliyepoteza ni tegemezi)
Nenda office za bima hua pia zinapatikan hospital za wilaya na mikoa chukua form ujaze km ulivyojaza mwanzo taarifa zako zote ila hua unalipia km ckosei 15000
 
Kwa anayefahamu, taratibu za kupata kitambulisho kipya cha bima ya afya NHIF kama umepoteza cha zamani. Msaada plss ( aliyepoteza ni tegemezi)
Nenda ofc ya bima chukua form ya utambulisho ijaze kisha ipeleke police utapewa loss report kisha unalipia benk(akaunti watakupa) kisha ndenda bima ukajaze fomu ya kuomba tena
 
Kama nikitaka kujiunga binafsi gharama zinakuwa shilingi ngapi?
mimi nilimuombea mtu kupitia crdb bank ( ni agent wa NHIF) kitengo cha Insurance, nililipia elf 80,600. unakipata baada ya siku 40. ila ukienda kuomba NHIF nadhan ni 76800. unarenew kila baada ya mwaka 1.
 
Back
Top Bottom