kauga Jafar
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 230
- 120
Mkuu nawezaje kupata deep networkBaada ya siku 16 kupita baada ya kurushwa voyager 1 ilirushwa nyingine hii ni Voyager 2 Lengo la hizi Space vehicles mbili ilikuwa ni kuchunguza sayari mbili Yani Jupiter na Saturn haswa Mwezi mkubwa unao orbit saturn uitwao Titan, Zilivomaliza mission hizo Ndio zikapanua wigo na kujogengea anga za mbali, Vifaa hivi bado vinatuletea Feedback kupitia Deep space Network