Kitambi kinazuia nini kwenye kufanya tendo la ndoa?

Duh! ni hatari sana yaani kwanza mwanamke kisaikolojia anadhani anasex na kiboko..;) ;)

NB: Pigeni chuma wenye vitambi :(
Mwenye kitambi Raha Sana bwana
Kama demu NI kimbaombao anapata bwana mwenye kitambi anamtesa mbaayaaa ananifanyia ma staili mwanaume ambayo haujawahi kufanyiwa
Yule mwenye kitambi anawehuka na kumtunza mihela kimbaombao wake maisha๐Ÿ˜‚
Nyie mnawacheka wenye vitambi lakini wanawake vimbaombao wamejenga na kutanua mjini Kwa pesa za wenye vitambi ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
Cc: mahondaw Smart911 mwandende
 
MTU mwenye kitambi Mara nyingi magoli yake NI KONA,,PENATI au FAULO ,,magoli hayana moves au style ya uchezaji...Mara nyingi hata kupiga mashuti makali kuelekea kwa kipa ni ngumu kidogo,,, na wengi husaidiwa na upepo pamoja na mashabiki wao...fanyeni MAZOEZI... sometimes hata mashabiki wanashangilia kukuridhisha mchezaji kitambi,,,,kwa kifupi huna unachofanya uwanjani,,,raundi ya kwnza MTU mwenye kitambi atatumia dk 6 badala ya dk 45 kama ilivyozoeleka,,,,,wanawake wanajiliza kimahaba kuwaridhisha,,,kwani hata size ya MGUU pia hupungua,,,kiatu huvaa size za watoto badala ya mguu size 43 ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiru๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom