Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 16,850
- 16,747
Wapendwa, wengi wetu wataalamu wa tendo la ndoa humu, leo tuangalie sisi wanaume
tufanye nini ili kuwa na furaha na mashuti ya nguvu, ukiachilia mbali balace diet, mazoezi,
na some wanaume as we said early hasa warefu & not fat, wamejaliwa kuwa na uume wa
size nzuri.
ww kama ni mwanaume wether umejaliwa uume au uko fit in sex, lazima ufanye haya
kuwa more sexy & can increase u r urefu na upana, more sex drive etc
1. Kitambi, hii ni hatari sana, kumbuka mishipa ya damu ndiyo inayo safirisha damu
na kusimamisha uume, sasa wengi wenye kitambi mafuta/fats zinapunguza msukumo
wa damu, unakuta uume umerudi ndani, pia mwanaume anachoka haraka, kwani
moyo unapata taabu sana kupump damu, mishipa imekuwa narrow, oxygen/CO2 exchange
is like a war in ur body during sex, hata sometimes uume unasimaa unapoint down to
gravity, like dysfunction hivi, ondoeni kitambi plse, mm uume wangu ukisimama lazima
uende against Gravity na umetoka forward kama vita, hadi natetemeka, bukta inapata shida,
tayari kwa kumtafuna na kumla mwana nke, mwana ume shughuli bwana.
2. Men must do colon cleansing at least mara moja for 2 months, watu wengi hawajui hii
colon ikiachwa inaficha accumulations za uchafu kibao, ndio maana tunahimizwa kula
sana roughages( mbogamboga) na cereals kwa wingi, ila still hazitoshelezi,
so jaribu kutumia kuosha tumbo lako kwa kutumia dawa za kuharisha, kuosha tumbo na colon, utakuwa hai mno, magonjwa meeeeeengi utaepuka, mishipa/ mirija ya damu kuelekea uumeni itaosheka, damu itapita fresh, na uchafu ktk colon is a big causative agent of constipation, na mwenye constipation, ni hatari, maana itafikiwa wakati damu ita absorb sumu kwani faeces/ kinyesi ni kama kina kwama tumboni, utakuwa unaishiwa nguvu mara kwa mara, colon cleansing hapa TZ unaweza kutumia mitishamba
mbalix2 kuosha tumbo, colon ikiwa chafu ni sawa kabisa na oil chafu ktk gari,then kula balance diet, mazoezi ya wastani, na hutasikia eti unatafuta dawa ya kuongeza nguvu za kiume, ambayo ni jibu la muda mfupi, na haujatatua matatizo. Mzizi mkavu hapa JF alijitahidi kuelezea juujuu kuhusu constipation, mm nimeamua kwenda deep
nakwambia
ukilala na mpenzi wako ukimaliza tu, utaona kalegea, akishtuka utasikia ww ni mwanaume, i luv u kutoka moyoni, Kazi kwenu wanaume