Kitamaduni zaidi

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,140
14,677
kitamaduni.jpg
 
Huu ni mwaka wa hamsini bado hatujapata vazi la taifa letu naona kwa sasa wamefanikiwa kulipata hilo vazi na kilichobaki ni kupitishwa bungeni tu
 
Umeona eh?...

Nimeona, ila inashangaza kuna watu humu wanasubiri uposti picha halafu wao wanazichukua na kuzipoti tena kwa heading tofauti. Kuna posti imewekwa leo yenye picha hii ikiwa na heading tofauti, sijui ndo ubunifu unaosemwa?!
 
Hmm... I have no comment on that...
 
Back
Top Bottom