Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,140
- 14,678
Yap, hii ni kitamaduni zaidi!
Umeona eh?...
Nimeona, ila inashangaza kuna watu humu wanasubiri uposti picha halafu wao wanazichukua na kuzipoti tena kwa heading tofauti. Kuna posti imewekwa leo yenye picha hii ikiwa na heading tofauti, sijui ndo ubunifu unaosemwa?!