Wewe ni lofa. Lowasa ni fisadi na mwizi alitakiwa kuuawa kwa kuchomwa moto. Dr Magufuli hata asipoleta mabadiliko ila yeye ni mwadilifu
Ukitaka kumtawala mtu kadri upendavyo mfanye maskini, mnyime pesa atakutumikia maisha yake yote, atakulamba miguu mda wote. Mikoa yenye umaskini wa kutupa uliosababishwa na ccm hawatakaa wabadilike kamwe na wataendelea kuwa maskini tu. Kama watu walikuwa wanamkataa lowasa basi hata madiwani tu wanashindwa, wabunge wa upinzani wanashindwa. Poor Njombe, Ruvuma, Rukwa, Katavi, Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Pwani,Singida mtaendelea kulaumu oo mikoa ya kaskazini inapendelewa tuu.[/QUOTYOUR TRULY RIGHT
Hivi unaamini kuwa CCM hushinda pasipo faulo?
kwa hali hii wote mnaoshabikia ccm baada ya miaka mitano nategemea mtakuja kuongelea mprovement kwenye kila secta kama afya(kuongezeka kwa hospital bora zinazotoa huduma bora na wafanyakazi wengi),elimu(kuinuka kwa kiwango cha elimu,ajira kwa waalimu wanaotosheleza,mitaala na miundombinu bora za shule),maji safi na salama,transport na communication bila kusahau rushwa na ufisadi.mkifanikiwa hayo kwa miaka mi5 basi mtastahili kubaki madarakani...otherwise mtakuwa mmeprove failure kuliko any political party in africa...u have all resources u need...yetu macho
Mimi naamini kwa Singida watajifunza kutoka Singida Mashariki na watabadilika katika chaguzi ijayo baada ya kuona matunda ya wenzao yatakavyokuwa
Hata wangeungana vyama kumi hakuna impact kwa kuwa ni briefcase parties hazina wanachama; ccm inavuna kutoka kwa wanachama. Hivi vyama vianze na mkakati wa kujipatia wanachama hadi vijijini hawa watakupigia kura bila kujali njaa zao au agenda ya mgombea tofauti ya kutaka kuwashawishi. Leo hii ukifanya sensa ya wanachama wa UKAWA sidhani hata milioni mbili wanafika; wala sijawahi kuwasikia wakijivunia mtaji huo. Kule kanda ya ziwa wameyumbishwa na mambo ya ukabila na ukanda lakini wasingekuwa mashabiki wa mtaani ni wanachama wasingeyumbaNinaamini kwa mwenye kufikiri sawasawa lazima atakubali kwamba katika Africa hakuna kama CCM kwasababu.
Kimsingi lengo la kuungana kwa vyama vya upinzani ilikua ni kutozitawanya kura ili muweze kushinda kirahisi.
Pamoja na kuungana kwenu lakini ushindi unaojitokeza haulingani kabisa na idadi ya vyama vyenu vilivyoungana.
Vijana wakileo husema"msuli tembo matokeo sisimizi"
Pamoja na kuungana kwenu lakini bado kuna majimbo mmeshindwa kabisa kuambulia hata diwani mmoja.
Na ukizama hata majimbo mengine mmeshinda kwa ushindi mwembamba sana mfano Temeke.
Ukitizama dira kwa jinsi matokeo yanavyoendelea kutoka utagundua bado CCM itashinda kwa zaidi ya 60% ushindi ambao hautopishana sana na ushindi ambao CCM ilijipatia 2010.
Kuna kila sababu yakusema kwamba Muungano wenu ume prove failure.
Haikuwa na risasi kabisa. Kama zilikuwemo basi zilikuwa blank. Mbowe kapata hela lakini kaua upinzani. Watamkumbuka Dr. Mihogo!Lowassa kawaponza ,bora wangeingia vitani na manati yao,kuliko kuingia na SMG ya kuazima isiyo na risasi za kutosha
Its a 5th(25yrs) multpartism election in tanzania with a narrow growth to oposition.
Watz tunamatatizo makubwa kichwani kuliko matatizo tunayoyaona kwa macho,ni ujinga na ni upumbavu uliochanganyika na ulofa ndo unaoweza ukakufanya kumchagua mtu yule yule kutoka chama kile kile chenye ilani ile ile na inatumika katiba ile ile kwa muda wote halafu unasubiria mabadiliko. Bora ya wale wa kanda ya Ziwa wenye sababu zilizo wazi zisizo na mashiko .................( kwenye maofisi mengi na huduma za kijamii baadhi ya jamii yanaangalia sana hizi sababu utasikia huyu wa kule kule) ambapo kwao wao hoja ya maendeleo,mambo ya kimataifa na mengineyo si kipaumbele chao.
unastahili LIKE bahati mbaya kile kidude sikioniBila faulo CCM wasingefurukuta uchaguzi huu, umiliki wa dola umewasaidia sana, hilo lazima tukubali hata kama tuna mapenzi na CCM........
Ninaamini kwa mwenye kufikiri sawasawa lazima atakubali kwamba katika Africa hakuna kama CCM kwasababu.
Kimsingi lengo la kuungana kwa vyama vya upinzani ilikua ni kutozitawanya kura ili muweze kushinda kirahisi.
Pamoja na kuungana kwenu lakini ushindi unaojitokeza haulingani kabisa na idadi ya vyama vyenu vilivyoungana.
Vijana wakileo husema"msuli tembo matokeo sisimizi"
Pamoja na kuungana kwenu lakini bado kuna majimbo mmeshindwa kabisa kuambulia hata diwani mmoja.
Na ukizama hata majimbo mengine mmeshinda kwa ushindi mwembamba sana mfano Temeke.
Ukitizama dira kwa jinsi matokeo yanavyoendelea kutoka utagundua bado CCM itashinda kwa zaidi ya 60% ushindi ambao hautopishana sana na ushindi ambao CCM ilijipatia 2010.
Kuna kila sababu yakusema kwamba Muungano wenu ume prove failure.
....the opposite is the truth....kwamba ukawa ni mafanikio makubwa kwenye uchaguzi huu....angalia ongezeko la wabunge na ukaribu wa mbio ya urais...Yaelekea we uko dunia nyingine ambako huoni wala husikii....ama umeamua tu kuwa ignorant kama ilivyo kawaida yenu kukubali uhalisia...Ninaamini kwa mwenye kufikiri sawasawa lazima atakubali kwamba katika Africa hakuna kama CCM kwasababu.
Kimsingi lengo la kuungana kwa vyama vya upinzani ilikua ni kutozitawanya kura ili muweze kushinda kirahisi.
Pamoja na kuungana kwenu lakini ushindi unaojitokeza haulingani kabisa na idadi ya vyama vyenu vilivyoungana.
Vijana wakileo husema"msuli tembo matokeo sisimizi"
Pamoja na kuungana kwenu lakini bado kuna majimbo mmeshindwa kabisa kuambulia hata diwani mmoja.
Na ukizama hata majimbo mengine mmeshinda kwa ushindi mwembamba sana mfano Temeke.
Ukitizama dira kwa jinsi matokeo yanavyoendelea kutoka utagundua bado CCM itashinda kwa zaidi ya 60% ushindi ambao hautopishana sana na ushindi ambao CCM ilijipatia 2010.
Kuna kila sababu yakusema kwamba Muungano wenu ume prove failure.
hakuna hata anayeongelea lowassa kura zake za vyuo vikuu peke yake ni zaid ya mil 1 ambazo zingemuwezesha kushinda urais....... TZ tunaitaj maombi yanayoendana na kufunga kwa mwez mzima kujielewa!!!