Bila faulo CCM wasingefurukuta uchaguzi huu, umiliki wa dola umewasaidia sana, hilo lazima tukubali hata kama tuna mapenzi na CCM........
Mbowe anatamaa ndiyo maana anataka kuanzisha vita. Ila naamini JK anajua cha kuwafanya mpaka sasaGia ya angani ilibadilisha fikra za wengi, including me. Huwezi kuaminisha watu kwa miaka nane kuwa fulani ni mwizi wa kuchomwa moto, then miezi miwili kufikia uchaguzi unamchukua huyo mtu apeperushe bendera yako. Lazima wanaojitambua wataona unacheza na fikra zao na watakupiga chini.
Katika kuongea kwangu na watu, wengi hilo limewakatisha tamaa na hata kura walizigawa sana. Hilo ni kosa la Mbowe, kafanya mambo kwa interest zake binafsi bila kufikiria impact kwa wapiga kura wanaojielewa...
Wewe ni lofa. Lowasa ni fisadi na mwizi alitakiwa kuuawa kwa kuchomwa moto. Dr Magufuli hata asipoleta mabadiliko ila yeye ni mwadilifukwa hali hii wote mnaoshabikia ccm baada ya miaka mitano nategemea mtakuja kuongelea mprovement kwenye kila secta kama afya(kuongezeka kwa hospital bora zinazotoa huduma bora na wafanyakazi wengi),elimu(kuinuka kwa kiwango cha elimu,ajira kwa waalimu wanaotosheleza,mitaala na miundombinu bora za shule),maji safi na salama,transport na communication bila kusahau rushwa na ufisadi.mkifanikiwa hayo kwa miaka mi5 basi mtastahili kubaki madarakani...otherwise mtakuwa mmeprove failure kuliko any political party in africa...u have all resources u need...yetu macho
Ninaamini kwa mwenye kufikiri sawasawa lazima atakubali kwamba katika Africa hakuna kama CCM kwasababu.
Kimsingi lengo la kuungana kwa vyama vya upinzani ilikua ni kutozitawanya kura ili muweze kushinda kirahisi.
Pamoja na kuungana kwenu lakini ushindi unaojitokeza haulingani kabisa na idadi ya vyama vyenu vilivyoungana.
Vijana wakileo husema"msuli tembo matokeo sisimizi"
Pamoja na kuungana kwenu lakini bado kuna majimbo mmeshindwa kabisa kuambulia hata diwani mmoja.
Na ukizama hata majimbo mengine mmeshinda kwa ushindi mwembamba sana mfano Temeke.
Ukitizama dira kwa jinsi matokeo yanavyoendelea kutoka utagundua bado CCM itashinda kwa zaidi ya 60% ushindi ambao hautopishana sana na ushindi ambao CCM ilijipatia 2010.
Kuna kila sababu yakusema kwamba Muungano wenu ume prove failure.
kwa hali hii wote mnaoshabikia ccm baada ya miaka mitano nategemea mtakuja kuongelea mprovement kwenye kila secta kama afya(kuongezeka kwa hospital bora zinazotoa huduma bora na wafanyakazi wengi),elimu(kuinuka kwa kiwango cha elimu,ajira kwa waalimu wanaotosheleza,mitaala na miundombinu bora za shule),maji safi na salama,transport na communication bila kusahau rushwa na ufisadi.mkifanikiwa hayo kwa miaka mi5 basi mtastahili kubaki madarakani...otherwise mtakuwa mmeprove failure kuliko any political party in africa...u have all resources u need...yetu macho
Yeah faraja kiasi lakini sio lengo, lengo lilikuwa ni LOWASSA...
Gia ya angani ilibadilisha fikra za wengi, including me. Huwezi kuaminisha watu kwa miaka nane kuwa fulani ni mwizi wa kuchomwa moto, then miezi miwili kufikia uchaguzi unamchukua huyo mtu apeperushe bendera yako. Lazima wanaojitambua wataona unacheza na fikra zao na watakupiga chini.
Katika kuongea kwangu na watu, wengi hilo limewakatisha tamaa na hata kura walizigawa sana. Hilo ni kosa la Mbowe, kafanya mambo kwa interest zake binafsi bila kufikiria impact kwa wapiga kura wanaojielewa...
Nimefanya hivyo kiongozi, uraisi tu ndio nilitoa nje ya upinzani. Nilitaka bunge liwe balanced. Bahati mbaya sana hata bunge letu litakuwa na majority CCM, sikutaka iwe hivyo.mleta mada kasema vizuri umeshindwa tu kumuelewa.Kama Fisadi Edwad lowasa ulikuwa humtaki kama mimi kichwa kikubwa basi wape ushindi madiwani na wabunge wa ukawa kama nilivyompigia udiwani na ubunge wa ukawa na kufanikiwa kumpitisha udiwani wa ukawa na najisikia faraja ktk kata yangu.Japokuwa kwenye ubunge kuna figisu zimechezwa na magamba.
Umenisemea na mimi mkuu.Gia ya angani ilibadilisha fikra za wengi, including me. Huwezi kuaminisha watu kwa miaka nane kuwa fulani ni mwizi wa kuchomwa moto, then miezi miwili kufikia uchaguzi unamchukua huyo mtu apeperushe bendera yako. Lazima wanaojitambua wataona unacheza na fikra zao na watakupiga chini.
Katika kuongea kwangu na watu, wengi hilo limewakatisha tamaa na hata kura walizigawa sana. Hilo ni kosa la Mbowe, kafanya mambo kwa interest zake binafsi bila kufikiria impact kwa wapiga kura wanaojielewa...
Unajua mkuu kuna watu uchambuzi ni tatizo. Kama mtu hajaona faida ya muungano wao jua ana lake jambo.Hivi unaamini kuwa CCM hushinda pasipo faulo?
Ninaamini kwa mwenye kufikiri sawasawa lazima atakubali kwamba katika Africa hakuna kama CCM kwasababu.
Kimsingi lengo la kuungana kwa vyama vya upinzani ilikua ni kutozitawanya kura ili muweze kushinda kirahisi.
Pamoja na kuungana kwenu lakini ushindi unaojitokeza haulingani kabisa na idadi ya vyama vyenu vilivyoungana.
Vijana wakileo husema"msuli tembo matokeo sisimizi"
Pamoja na kuungana kwenu lakini bado kuna majimbo mmeshindwa kabisa kuambulia hata diwani mmoja.
Na ukizama hata majimbo mengine mmeshinda kwa ushindi mwembamba sana mfano Temeke.
Ukitizama dira kwa jinsi matokeo yanavyoendelea kutoka utagundua bado CCM itashinda kwa zaidi ya 60% ushindi ambao hautopishana sana na ushindi ambao CCM ilijipatia 2010.
Kuna kila sababu yakusema kwamba Muungano wenu ume prove failure.
Umeshawahi fanya utafiti? If yes ungetuambia last election idadi ya kura za rais na viti vya ubunge ni X na baada ya uchaguzi ni Y so kumekuwa na ongezeko au kushuka kwa kiasi Z.
Ukitaka kumtawala mtu kadri upendavyo mfanye maskini, mnyime pesa atakutumikia maisha yake yote, atakulamba miguu mda wote. Mikoa yenye umaskini wa kutupa uliosababishwa na ccm hawatakaa wabadilike kamwe na wataendelea kuwa maskini tu. Kama watu walikuwa wanamkataa lowasa basi hata madiwani tu wanashindwa, wabunge wa upinzani wanashindwa. Poor Njombe, Ruvuma, Rukwa, Katavi, Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Pwani,Singida mtaendelea kulaumu oo mikoa ya kaskazini inapendelewa tuu.