Kitakachowaondoa akina Halima Mdee ni "jinai" ya wao kuingizwa Bungeni siyo suala la Uanachama wao

Anayetakuwa kubeba lawama zote,ni Mwendazake,picha lite alilifanya yeye ili kuzihadaa jumuia za kimataifa,

Baada ya kukatika nguzo Ndugai amebaki peke yake hajui pa kuanzia.
Mwendazake mnamsingizia tu.

Cecil Mwambe na Lijualikali ilikuwaje kwani?
 
Ndio maana tunasema kwa sasa spika anaona yuko salama, mbele ya safari kuna kivumbi.. Hasa NEC
Nani alisaini fomu zake namba 8d zinazotakiwa kujazwa na Katibu Mkuu wa chama wakati yeye alikuwa gerezani
 
Back
Top Bottom