Issue kubwa watu wanaopewa hizi nafasi sio entrepreneurial minded, walau huyo Nehemia alijaribu kuongeza value.
Tatizo lake lilikuwa ni poor marketing strategy, kutoelewa dhana ya public housing and pursuing unsustainable investment approach iliyoenda haribu model ya shirika.
Huyu aliepo sasa ndio kama wale wazamani mradi kuna mtu anashikilia nafasi ya General Manager or else angekuwa ana negotiate na serikali jinsi ya kulirudisha shirika katika misingi yake ili waweze fanya uwekezaji sahihi.
Dodoma inaenda pokea wafanyakazi wengi wa serikali NHC ingepata faida kubwa sana through economies of scale kuliko kila mtu anaeamia huko wakianza kujenga mmoja mmoja.
Criteria za kuteua hawa watu wanazijua wenyewe huko kwenye mamlaka ya teuzi.
Yaani u are very smart I wish to meet you at least once.
Unaweka CEO ambae hajawahi kuwa hata na genge la nyanya kwenye shirika la hadhi ya kitaifa. No delivery no output.
Tunahitaji mawazo haya positive sio CCM ,CHADEMA MBOWE MAGUFULI RUBBISH.