Kitabu : Kiu ya Uzalendo soon sokoni

Shayu

Platinum Member
May 24, 2011
608
1,653
8166506b429fb9c1c3edabeb6c07232d.jpg
05f1830c1731b38814c76e850846b8a1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, unaweza pia ukampatia nakala katibu mkuu wizara ya elimu na kumshawishi kuwa kitumike kama moja ya vitabu vya lazima vya kusoma kwenye somo la civics. Nafikiri kinaweza kusaidia kwa namna fulani kujenga jamii adili

usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
 
Haina shida nitajaribu Mkuu.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Mkuu, hlichokifanya nami nilikuwa na nia ya kukifanya ila naona wewe ushafika hatua ya mbali sana ndio maana nimeamua nikupe wazo langu.

Kwenye nchi hii tuna tatizo kubwa la uzalendo na tatizo hilo linaanzia mbali. Ili kulishughulikia tunatakiwa kuanzia mashuleni na hasa kufanya review juu ya namna sono la uraia linavyofundishwa na vitabu vinavyotumika. Lakini hiyo peke yake haiwezi kutosha bali yunatakiwa kuingiza vitabu vipya kwenye mfumo wa mafunzo ya watoto wetu ili kuwa brand kuwa watu wa aina fulani.

Ndani ya vitabu hivyo inabidi kuwe na mafunzo yanayochochea uzalendo, pawe na mafunzo yanayoweza kuwa inspire na kuwamotivate vijana kufikiri na kutenda kwa namna chanya.

Kwa sasa kwa mfano ukiangalia watu wengi kila mtu analalamika kuwa hakufanya kitu fulani maana mtu mwingine hajamfanyia kitu fulani, yaani ni kama vile kila mmoja anahisi kuwa hatima ya nchi na maisha yake yako mikononi mwa mtu mwingine na yeye hana cha kufanya mpaka afanyiwe. Sasa kubadilisha mind set kama hizo ni lazima kazi kubwa ifanyike ikiwemo kuweka vitabu fulani fulani kwenye mfumo wa lazima wa mafunzo ya vijana wetu.

Yah ni kweli nimejaribu kufanya hivyo kwenye kitabu changu. Nadhani ukikisoma utanipata zaidi.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom