Kitabu kipya: Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania

Hiyo picha imenikumbusha kadhia ya somo la Islamic wanafunzi wengi wasomo hilo walifeli kwa sababu ambazo NECTA walisema hitilafu kwenye mifumo yao. Hata hivyo somo hilo na bible knowledge kwa sasa hayabebi uzito wowote katika udahili. Ukisoma hayo masomo ni kwa maslahi yako ya akhera tu.
Kabisa
 
Hiyo title ya hicho kijitabu is misleading. Inaonyesha kwa mtazamo wake Muandishi "udini" ni pale tu anapoona Waislamu wanakuwa wahanga wa Wakristo, na siyo the other way around, as you'd expect in any objective, balanced, unbiased assessment. Kwa hiyo basi ni bora angeondoa "udini" kwenye jina la kijitabu chake na kutumia "mfumo kristo" badala yake sababu nina uhakika hata bila ya kusoma maoni yake humo kitabuni hazungumzii hata kidogo masuala yoyote ya Wakristo kuwa wahanga wa Waislamu. By the way, dunia nzima kila mwaka, maelfu ya Wakristo wasiyo na hatia hupoteza maisha kwa mauaji ya kikatili yanayofanywa na Waislamu na makanisa yao kuchomwa moto, na siyo vingine.
 
Mbona prof. Njozi alishaandika kitabu kuhusu suala la EAMWS? Kwann unarudiarudia mambo yale yale kutoka vyanzo vile vile? Ndo kusema hapajawahi kuwa na udini baada ya Nyerere kufariki?

Vinginevyo wewe ni broker wa mtafaruku wa kidini. Zikitokea rabsha kama za Book haram(Mungu apishie mbali), basi utakuwa na ushawishi na mali nyingi sana.
Sooth,
Prof. Njozi hajaandika kuhusu EAMWS.
 
waelimishe waislamu wafanyeje ili kujikwamua hapa sasa hivi walipo, sio kuwajaza chuki kwa mambo yaliyopita ambayo hayarekebishiki, wewe ni mchochezi mkubwa wa chuki, kwa iyo unataka waislamu wabebe mapanga wawakate waliowadhulumu, kuwa na busara hata kidogo

Wanapoandika wakristo wenzako propaganda za kanisa kuhusu waislamu , waarabu na utumwa unakuwa husemi kwi
 
MWENZAKO PASCAL ANAPOANDIKA HAYA UNAKAA KIMYA NA KUMTEREMSHIA LIKES


PASCAL WACHA KUTULETEA PROPAGANDA ZA MAKANISA NA WAZUNGU


Uliweka picha hizi eti ndio waarabu walivyowatesa watumwa wa kiafrika


img-20160417-wa0025-jpg.339723




winterton_image_large.jpg





f1cfd5c8c022ec081b501e137cd76f48.jpg




0d422469a7bfe49699e19d8d898530d7.jpg




East-African-Slave-Trade.jpg





6ea26ffb39629355ebf88004858ec924.jpg




images




images




Slavezanzibar2.JPG




Servant_or_slave_woman_in_Mogadishu.jpg




8193f522fd2fbf34063d4baf59dfcced.jpg



Hizi picha wajemeni sio picha ya kuchorwa, ni picha za kweli na halisi zilizopigwa na kamera za wadhungu na sii lazima ziwe zimepigwa Zanzibar.


Pascal Utumwa ulipigwa marufuku mwaka 1833

Britain abolished slavery throughout its empire by the Slavery Abolition Act 1833 (with the notable exception of India), the French colonies re-abolished it in 1848 and the U.S. abolished slavery in 1865 with the 13th Amendment to the U.S. Constitution.
Abolitionism - Wikipedia


CAMERA ILIVUMBULIWA MWAKA 1888

1888

The use of photographic film was pioneered by George Eastman, who started manufacturing paper film in 1885 before switching to celluloid in 1888–1889. His first camera, which he called the "Kodak", was first offered for sale in 1888.
History of the camera - Wikipedia


HIZO PICHA ULIZOLETA ZILIPIGWA NA CAMERA IPI ??


BADO TU MNAENDELEZA HIZI PROPAGANDA NA CHUKI DHIDI YA WAARABU NA WAISLAMU ?? HASA HUKU KWETU ZANZIBAR


NJIA YA MWONGO NI FUPI
 
Sema hata kama 99% zitakuwa ni propaganda nakuhakikishia mzee lazima uuze hicho kitabu...kuna majamaa walitengeneza kitabu cha miujiza ya dini ya kiislam ikiwemo na kuwa paka hawezi kanyaga Qur'an, Africa ukiiangalia kwenye satellite kuna neno Allah hata viganja vyetu vimeandikwa Allah n.k
Although hiyo miujiza yote ni pumba tupu lakini kwakuwa watu wanapenda sana dini na kuonekana wanachoamini kiko sahihi wale majamaa waliuza sana vitabu.

Naona umestaafu ukafkiria unapata wapi hela...usingekuwa muislam ungeanzsha kanisa lakn ukaona cha kufia nini humohumo kwenye uislam upige hela..kuna wengine masheikh walijifanya wana maajabu mara ooh alizaliwa anajua Quran ooh anajua kusoma nyota na mazingaombwe lakini technique yako mkuu ni nzuri na ya kisomi...you've earned my respect.
 
Kama hata wewe mwandishi hujui tafasiri ya kava la kitabu hiki basi ni hatari zaidi yaliyoandikwa humo!

Naomba uninunulie unitumie nipe mawasiliano yako nikurudishie hela utakayotumia!
Hahaha unaweza kuta hata mwandishi hajui yaliyomo ndani ya kitabu
 
Ubinafsi tu na uchochezi..... Hakuna jpya...... Tangu nimezaliwa had nakua sijawahi sikia Wakristo wakipgania ukristo..... Kulikon ndugu zetu Waislam...?!!...... Ifke mahal muwe nA ajenda za msingi wenye tija kwa taifa na dunia kwa ujumla...
Agenda za kujenga uwatume wewe kama nani???wakufate wewe au mtume??mtume kasema "nimeagizwa kupigana mpaka dunia nzima iwe waislam"
 
Kanisa unalihusishaje na Mambo ya Dola na Uislaam? Kwanza Kanisa ni kitu gani kwa mtazamo wako ikiwa Tanzania tuna Madhehebu Mengi...Kuwa Mzalendo Tanzania Kwanza Dini tuliletewa tu...
Sajosojo,
Soma kitabu ujue yaliyo ndani ya kitabu kisha utoe fikra zako.

Hili la Mzalendo kwanza nimelieleza kwa kirefu katika kitabu changu, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) the Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' (1998).

Ninajua vitu vingi tunaweza tukaelezana mengi sana kuhusu nchi yetu.
Nakusihi kuwa makini na tubadilishane fikra kwa adabu na kuheshimiana.

1575208368290.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom