KITABU: Hali ya Watetezi wa Haki za Binadamu Vyuoni 1965-2017

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Wakuu,

Nimebahatika kupata soft copy ya kitabu kilichokuwa kizinduliwe jana pale Blue Pearl - Ubungo kabla askari polisi hawajaingilia kati na kumkamata Mr. Onesmo Olengurumwa.

Mnaweza kupakua na kujisomea.

Wabheja!
 
Attachments

  • HALI YA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU (1).pdf
    4.9 MB · Views: 309
Sasa hiki kijarida ndio kimefanya mpeleke defender 5 na askari zaidi ya 30? Kweli? Askari wetu mnawatumia vibaya sasa!!! Hawana kazi za kufanya kuwafurahisha watawala.......kijana mdogo huyu na ajenda kufukuzwa kwake mnapeleka defender 5??? Shame
 
Hawana kazi
 
Wakuu,

Nimebahatika kupata soft copy ya kitabu kilichokuwa kizinduliwe jana pale Blue Pearl - Ubungo kabla askari polisi hawajaingilia kati na kumkamata Mr. Onesmo Olengurumwa.

Mnaweza kupakua na kujisomea.

Wabheja!
Safi mkuu, ngoja nikipitie nione nini hasa kimo ndani...

Nitaleta mrejesho
 
Aisee kiukweli kitabu safi sana

Kimeelezea mambo mengi mno na changamato nyingi

Ni vyema kusoma maana hakielezeki
 
Hawana kazi
Kazi wanayo kubwa sana Kibiti tu hapo waechemsha mwaka 3 sasaa!!! Waambie CDM wanaandamana uonee!!! Nyambafuu na vyeti vyetu mlivyoibaa mnavitumiaa kupata nyota zenu ma polisi nyieeee
 
Back
Top Bottom