Kitabu Gani uli-kisoma week hii?

Gigo

JF-Expert Member
Aug 6, 2006
456
46
Nitajie Jina la muandishi, jina la kitabu........ au ...unafikiri kime-kusaidiaje?
Una weza kikanivutia na mimi nika kitafuta kukisoma!!
hii ni seehemu ya kufaamiana...
 
Mr. Myombekere and His Wife Bugonoka, Their Son Ntulanalwo and Daughter Buhihwali. Kimeandikwa na Aniceti Kitereza katika lugha ya Kikerewe, kimetafsiriwa kwa kiingereza na Gabriel Ruhumbika

Kimenisaidiaje: Kimenikumbusha utajiri wa tamaduni za kiafrika, na jinsi gani tunavyoweza kuziishi kwenye dunia ya leo ya ukoloni mamboleo, katika harakati za kutafuta uhuru

Waweza kukipata online: amazon, etc
 
Safi sana!! wakati nina soma post yako -nilikua nina jiandaa kukwambia- nitumie hicho kitabu- !!! lakini...............
 
Nashukuru kwa kunikumbusha.......! mtanzania mimi nilisahau na kupoteza utamaduni wa kujisomea.....nilikuwa msomaji mzuri tu (blowing my own.....) lakini sasa imebaki hadith.... nilisoma kitabu cha MASHIMO YA MFALME SELEMAN....umsolopa gaas,inkosikazi..LAWINO OCOL....MINE BOY...elizabeth...HOW EUROPE UNDER..AFRICA...ALAN QUARTERMAN....CHIEF NANGA.....DR.STOCMAN......UA LA KOTI JEKUNDU...SAFARI YA MSAFIRI....NGOSWE.....mzee mitomingi....yeeeeeeeeees!!!! nitaanza kusoma tena
Nitajie Jina la muandishi, jina la kitabu........ au ...unafikiri kime-kusaidiaje?
Una weza kikanivutia na mimi nika kitafuta kukisoma!!
hii ni seehemu ya kufaamiana...
 
wk kama tatu zilizopita nilisoma fiction moja ya Robert Ludlum(rip) kinaitwa "The Ambler Warning." Very entertaining........jamaa ni author wa vile vitabu ambavyo vimekuwa ktk series ya movie za Jason Bourne(Matt Damon), kama vile Bourne Identity, Bourne Supremacy na Bourne Ultimatum.......na recommend ukitafute kama unapenda spy novels.
Kingine ni kitabu cha Khaleed Houssain(afghan-american) kinaitwa "The Kite Runner"......humo utapata ride ya afghanistan kabla ya vita, wakti wa vita, kuja kwa ma-soviet, Najibullah, ujio wa Taliban na struggles za kitamaduni ndani ya ethnicities mbalimbali za Afghanstan.........kitabu kizuri sana, ni bestseller!! ana kingine kimetoka last summer lakini mie bado kukisoma, ila nasikia ni kizuri.
 
Yourname nitakicheki "The Kite Runner".Understanding Afghanistan is crucial to understanding the middle east.

I am currently listening to the audiobook "The Looming Tower:Al Qaeda And The Road To 9/11" Lawrence Wright katika kitabu hiki kilichoshinda Pulitzer 2006 anatoa historia nzuri ya 9/11 na kuoanisha muamko wa uislamu hafidhina mashariki ya kati,vita ya Urusi na Afghanistan na 9/11.Mengi yalijulikana, ni jinsi anavyoyaunganisha na kutoa ushahidi ndivyo vilivyompa umahiri.

Reading "Science Friction:Where The Known Meets The Unknown" cha Michael Shermer. Kimenifundisha the virtue of skepticism na kuwa wataalamu sio mara zote wanajua wanachofanya na hata baadhi ya vitu vinavyokubalika (From the finality of the universe, cancer being a non infectious disease, oil being a fossil fuel, evolution being progressive to the possibility of time travel) bado vinaweza kuwa questioned.Some pretty interesting essays if this stuff is your cuppa.
 
In search of memory by Eric Kandel. kikali mno. Kitafute ili upate mwanga kuhusu jinsi gani kumbukumbu ya binadamu ni zaidi ya ulivyofikiria. Molecular and cellular aspects of memory
 
'THE AMBLER WARNING" naweza kukipata wapi kitabu hicho?

mkuu,
inategemea upo wapi? kama upo North America, ni a quick stop @ your local Barnes & Noble or Borders Bookstores na utakipata mara moja....otherwise waweza ku-order kupitia www.amazon.com

enjoy.
 
mkuu,
inategemea upo wapi? kama upo North America, ni a quick stop @ your local Barnes & Noble or Borders Bookstores na utakipata mara moja....otherwise waweza ku-order kupitia www.amazon.com

enjoy.
ahsante kiongozi... mi nipo manzese midizini ila napatikana sana kurasini jirani na UWT....... i will try my level best kukipata......!
 
Hiki kitabu shwari sana, kitakusaidia on how to deal with na embrace changes, whether bad or good in your life, at work, in your relationships with other people. It will help you prepare for and anticipate change coz most of the times we see it coming!!!!Its very easy to read.

the main concepts ni hizi hapa:
"They keep moving the cheese." (Change happens.)
"Get ready for the cheese to move." (Anticipate the change.)
"Move with the cheese." (Actually make the change.)
"Enjoy the taste of new cheese." (Enjoy the fruits of change.)

Kimeandikwa na Spencer Johnson na unaweza kukipata Amazon.com.

Kilinisaidia sana when i was trying to change jobs and wasnt sure kama its for the better. Change helps us grow!!Nilikipenda mpaka nikakituma nyumbani kwa dada zangu wote wakisome. change happens for a reason and the endresult depends on how u react to it.
 
Hiki kitabu shwari sana, kitakusaidia on how to deal with na embrace changes, whether bad or good in your life, at work, in your relationships with other people. It will help you prepare for and anticipate change coz most of the times we see it coming!!!!Its very easy to read.

the main concepts ni hizi hapa:
“They keep moving the cheese.” (Change happens.)
“Get ready for the cheese to move.” (Anticipate the change.)
“Move with the cheese.” (Actually make the change.)
“Enjoy the taste of new cheese.” (Enjoy the fruits of change.)

Kimeandikwa na Spencer Johnson na unaweza kukipata Amazon.com.

Kilinisaidia sana when i was trying to change jobs and wasnt sure kama its for the better. Change helps us grow!!Nilikipenda mpaka nikakituma nyumbani kwa dada zangu wote wakisome. change happens for a reason and the endresult depends on how u react to it.

Who Moved My Cheese?
Hiki kitabu ni kizuri, ukikisoma utataka kila mtu akisome.
Watu wengi wamependekeza hiki kitabu.

Nilisikiliza audio book yake. Baadae nikaona video yake kwenye net sikusita ku-download.
 
Ndiyo nimemaliza kusoma kitabu cha Michela Wrong: Its our turn to eat - The story of a Kenyan whistle blower....ni kitabu kizuri hutajilaum kukipitia...kinaelezea matumani ya wakenya zidi ya uongozi mpya wa Kibaki awamu ya kwanza. Walijua angepigania kuondoa rushwa na utawala bora angeusimika, badala yake alikuwa kuwa kiongozi wa nchi ya kitu kidogo, rushwa kubwa na akakataa kutoka madarakani na kupelekea yale mauwaji ya halaiki...typical African leader...kitafute kisome

Masa
 
Mr. Myombekere and His Wife Bugonoka, Their Son Ntulanalwo and Daughter Buhihwali. Kimeandikwa na Aniceti Kitereza katika lugha ya Kikerewe, kimetafsiriwa kwa kiingereza na Gabriel Ruhumbika

Kimenisaidiaje: Kimenikumbusha utajiri wa tamaduni za kiafrika, na jinsi gani tunavyoweza kuziishi kwenye dunia ya leo ya ukoloni mamboleo, katika harakati za kutafuta uhuru

Waweza kukipata online: amazon, etc

sijasoma kitabu chochote mkuu (umenipata kweli leo).
ila nimesoma kila ishu ya mwananchi na mwanahalisi bila kusahau threads za JF maana kwangu ni kama novel hili jukwaa
 
Finishing "Million Dollar Habits", mainly reminders and a few gems on how to achieve financial independence and success.

About to start

"The Cost of Capitalism: Understanding Market Mayhem and Stabilizing Our Economic Future"

Considering Dambisa Moyo's "Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa"
 
Donald Trump & Robert Kiyosaki also wrote about that.
Would you recommend it to others?
 
Donald Trump & Robert Kiyosaki also wrote about that.
Would you recommend it to others?

Excellent read, informative and sets a clear plan to achieve tangible goals.I would recommend it highly.
 
Nimesoma Who runs Britain cha Robert Preston

Ni kizuri sana kujua jinsi gani matajiri ulimwenguni wanavyokwepa kodi, kuibia mifuko ya pension na kuaribu uchumi wa dunia

Ni kizuri sana hasa kwa mtu anayefuatilia uchumi wa Ukerewe na dunia kwa jumla pamoja na tatizo la credit crunch tulilonalo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom