Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,494
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

=========

Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
 
Think-Big.jpg
THINK BIG ni miongoni mwa vitabu vilivyowahi kunivutia. Story yake inaonyesha jinsi ambavyo Hakuna Mtu ambaye hana uwezo. Kutoka Kuwa mtu wa mwisho darasani hadi kuwa daktari bingwa duniani mwenye kuheshimiwa. Prinsciples za kawaida tu ambazo zilitumiwa na mama asiyejua elimu. akifanya kazi kama HOUSEGIRL kwenye nyumba za matajiri aliwawezesha vijana wake wawili mmoja kuwa Engineer na mwingine kuwa Daktari bingwa duniani.

Talent: Our Creator has endowed all of us not just with the ability to sing, dance or throw a ball, but with intellectual talent. Start getting in touch with that part of you that is intellectual and develop that, and think of careers that will allow you to use that.

Honesty: If you lead a clean and honest life, you don't put skeletons in the closet. If you put skeletons in the closet, they definitely will come back just when you don't want to see them and ruin your life.

Insight: It comes from people who have already gone where you're trying to go. Learn from their triumphs and their mistakes.

Nice: If you're nice to people, then once they get over the suspicion of why you're being nice, they will be nice to you.

Knowledge: It makes you into a more valuable person. The more knowledge you have, the more people need you. It's an interesting phenomenon, but when people need you, they pay you, so you'll be okay in life.

Books: They are the mechanism for obtaining knowledge, as opposed to television.

In-Depth Learning: Learn for the sake of knowledge and understanding, rather than for the sake of impressing people or taking a test.

God: Never get too big for Him.
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom