Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Mimi naona itakuwa ni kitu poa sana tukitengeneza group ya wasap kwa ajili ya kuamasishana na kusoma vitabu kama mpo tayari andika neno kitabu tuma kwa namba 0655230513
 
Atlas Shrugged. Mwandishi: Ayn Rand

Hiki kitabu nilikisikia miaka mingi. Hivi karibuni niliamua kukisoma mwanzo-mwisho. Atlas Shrugged ni kitabu cha hadithi, kinachoshadidia sera za uchumi wa soko (soko huria). Msingi mkuu wa kitabu hiki ni falsafa ya Objectivism, iliyobuniwa na Bi Ayn Rand, mwandishi.

Kitabu kinabeza fikra za kijamaa, kwa kuzionyesha zisivyoenda na hali halisi ya tabia za binadamu. Aidha kinaangalia ubepari kwa mawani yenye kuutia nakshi kwamba ndio njia maridhawa ya kuleta maendeleo endelevu, kwa vile ubepari unasharabiana na hulka ya binadamu ya ubinafsi.


REJEA:
1. https://en.wikipedia.org/wiki/Objectivism_(Ayn_Rand)

2.
3. https://www.aynrand.org/
 
Poa, hizo app ni vitabu vyenyewe ukienda playstore utavipata, ila nitaandika majina ya vitabu nilivyonavyo


Kama unataka utitili wa vitabu tembelea web ya Pdf drive, hapo ni balaa. Kwingine telegram kuna channel lukuki tu za vitabu
Katafute kitabu cha Business secret from the Bible,mwandishi Rabbi daniel lapin ,au mtafute youtube umsikilize mafundisho yake,yuko vzuri sana.
 
Tangu nimeona huu uzi mwezi wa tatu mwaka 2019, nimesoma
Things fall apart
Fools die
Goodfather.
Natarajia kusoma vitabu vingi zaid mpaka huu mwaka kuisha.
SHUKRANI JAMII FORUM.
Xol ivo vitabu huwa una Vitoa wp!?? Mana playstoo hamna na ss w huk mikoani ata stationary hamna!!!
 
"Better yourself books" simkumbuki mwandishi ni nani wala Title ya Kitabu,but kina chapters kama.
.Take time to live.

.Take time to love.

.Take time to eat.

.Take time to Sleep.

.Take time to Die.

Yaani hizo ni baadhi ya chapter nnazokumbuka,nakitafuta sana hicho kitabu.
Mwl.RCT
 
59 Reactions
Reply
Back
Top Bottom