Nilipata kusoma lakini sijakimaliza ni. Kama two years ago hivi, kipo hadi leoHiyo Fools Die napata uvivu kuimaliza. Nimekianza last year but huwa nakiweka pending na kusoma vitabu vingine mpaka vinaisha
Kipo badoNilipata kusoma lakini sijakimaliza ni. Kama two years ago hivi, kipo hadi leo
Katafute kitabu cha Business secret from the Bible,mwandishi Rabbi daniel lapin ,au mtafute youtube umsikilize mafundisho yake,yuko vzuri sana.Poa, hizo app ni vitabu vyenyewe ukienda playstore utavipata, ila nitaandika majina ya vitabu nilivyonavyo
Kama unataka utitili wa vitabu tembelea web ya Pdf drive, hapo ni balaa. Kwingine telegram kuna channel lukuki tu za vitabu
Poa mkuuKatafute kitabu cha Business secret from the Bible,mwandishi Rabbi daniel lapin ,au mtafute youtube umsikilize mafundisho yake,yuko vzuri sana.
Nimetuma but sikuona response yoyoteMimi naona itakuwa ni kitu poa sana tukitengeneza group ya wasap kwa ajili ya kuamasishana na kusoma vitabu kama mpo tayari andika neno kitabu tuma kwa namba 0655230513
Think Big kimeandikwa na Dr Benjamin Carson,na Poor Daddy or rich daddy by Robert koisakiNimetuma but sikuona response yoyote
Mimi naona itakuwa ni kitu poa sana tukitengeneza group ya wasap kwa ajili ya kuamasishana na kusoma vitabu kama mpo tayari andika neno kitabu tuma kwa namba 0655230513
Vinahusu niini...?Habari za Wakati wadau mwenye kitabu chochote cha SHAFI ADAM SHAFI anisaidie nasikia ana vitabu vizuri sana
Nina KULI ya Shafi A. ShafiHabari za Wakati wadau mwenye kitabu chochote cha SHAFI ADAM SHAFI anisaidie nasikia ana vitabu vizuri sana
Vitabu vya FasihiVinahusu niini...?
Xol ivo vitabu huwa una Vitoa wp!?? Mana playstoo hamna na ss w huk mikoani ata stationary hamna!!!Tangu nimeona huu uzi mwezi wa tatu mwaka 2019, nimesoma
Things fall apart
Fools die
Goodfather.
Natarajia kusoma vitabu vingi zaid mpaka huu mwaka kuisha.
SHUKRANI JAMII FORUM.
Vitabu 0624014395Mimi naona itakuwa ni kitu poa sana tukitengeneza group ya wasap kwa ajili ya kuamasishana na kusoma vitabu kama mpo tayari andika neno kitabu tuma kwa namba 0655230513
Kitabu,0629952357Mimi naona itakuwa ni kitu poa sana tukitengeneza group ya wasap kwa ajili ya kuamasishana na kusoma vitabu kama mpo tayari andika neno kitabu tuma kwa namba 0655230513