Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye soft copy au msaada sehemu ya kukipataMsaada anayeweza kunipatia soft copy ya kitabu cha BECOMING SUPERNATURAL BY DR JOE DISPENZIA.au sehemu ya kukipata
Hivi ni adimu sana ila kama uko Dsm pale ubungo stand kuna jamaa anavyo kama vyote, Siku za mwisho za uhai wangu, Rais anampenda mke wangu, Kile cha Mike & Beatrice, Kifo ni haki yangu.
Haaa mzee tatizo liko wap? Hamjiamini wabongo?Duuh!! Kweli tunatofautiana!! Unasoma vitabu vya kiswahili? Vya bongo?
Hiyo Fools Die napata uvivu kuimaliza. Nimekianza last year but huwa nakiweka pending na kusoma vitabu vingine mpaka vinaishaTangu nimeona huu uzi mwezi wa tatu mwaka 2019, nimesoma
Things fall apart
Fools die
Goodfather.
Natarajia kusoma vitabu vingi zaid mpaka huu mwaka kuisha.
SHUKRANI JAMII FORUM.
Mamamamae! Mario Puzo, Mzee Wa The Godfather!Fool dies cha mario puzo,yaani kimebadili kabisa maisha yangu.
Boss hicho kiondolee uvivu kabisa, hutajutia kukimaliza, wajinga wanakufa kweli kimenifanya kuelewa ujinga nin nasitamani kufa kma hao wajinga waliokufa humoHiyo Fools Die napata uvivu kuimaliza. Nimekianza last year but huwa nakiweka pending na kusoma vitabu vingine mpaka vinaisha
Akiwemo jamaa aliyejiua...etc.Boss hicho kiondolee uvivu kabisa, hutajutia kukimaliza, wajinga wanakufa kweli kimenifanya kuelewa ujinga nin nasitamani kufa kma hao wajinga waliokufa humo
Ahsante, nitajitahidi ndani ya mwezi ujao nikimalizeBoss hicho kiondolee uvivu kabisa, hutajutia kukimaliza, wajinga wanakufa kweli kimenifanya kuelewa ujinga nin nasitamani kufa kma hao wajinga waliokufa humo
Nacho ni kitabu?Kanisa katoliki na siasa ya Ujamaa
Ndio. Kama hukijui sema upewe.Nacho ni kitabu?
The 7 Habits of Highly Effective People - Stephen Covey.