Excellent Training Center
Member
- Aug 9, 2017
- 65
- 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Someone told me kinaboa nikaacha kukisoma"The magic of thinking big" kilinibadili maisha yakawa ya kujiamini zaidi
Ha ha ha ha haThe wreath of father Mayer.
Ha ha ha ha haThe wreath of father Mayer.
Do you have a soft copy of this???You can win by Shiv Khera
How did that change you??Kalulu the hare, nakumbuka mwl wetu wa engilish alikua na mapengo hawezi kusema this yeye asema zis na mate kibao yanamwagika ila wewe ukikosea kuitamka unakula bakora za kutosha!
Sent using Jamii Forums mobile app
But hiyo inakuwa subjectiveNI VIGUMU KUNISHAWISHI KAMA KUNA KITABU KIZURI ZAIDI YA HIKI.
Nimesoma zaidi ya vitabu 150 mpaka sasa ila hiki ni mwisho wa matatizo.Vitabu wanavyovitaja nimevisoma karibu vyote
View attachment 1001069
NI VIGUMU KUNISHAWISHI KAMA KUNA KITABU KIZURI ZAIDI YA HIKI.
Nimesoma zaidi ya vitabu 150 mpaka sasa ila hiki ni mwisho wa matatizo.Vitabu wanavyovitaja nimevisoma karibu vyote
View attachment 1001069
Hata kujieleza umeshindwa ndugu? Dadavua hitaji lako vizuri. Mfano ufadhili wa masomo kwenye level gani nkJamani wana jf nisaidieni jinsi yakupata ufadhili wa kimasomo
Asante. Nahitaji ufadhili wa masomo nimepata nafasi ya kwenda chuo kiwango cha certificate kwa kozi ya coffee quality and trade na sins uwezo wa kifedha jamani nisaidieni ....Hata kujieleza umeshindwa ndugu? Dadavua hitaji lako vizuri. Mfano ufadhili wa masomo kwenye level gani nk
Sent using Jamii Forums mobile app
kimeandikwa na nani hiki?Richest man in babylon.