Baba Genovivah
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 756
- 248
Team.not timeMKuu TheCrazy Mchokozi kuna noval flani nilisomewa na mama usiku nikiwa mdogo ya uyu sidney sheldon inausu dogo nyumbani kwao baba ake ni mfanyakazi wa bank sasa hela zinasafirishwa dogo akamsikia baba anawasiliana na wenzake akiwa nyumbani kua lini pesa zinasafirishwa aah dogo aka organise time ya watu wa5 kuvamia msafara katikati kinaitwaje ivi iki nimekisahau kabisa afu akumalizia kikaungua