Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,604
Mein Kempf cha Adolf Hitler
Hiki kitabu kila nikikianza naishia page ya 50, siku nikitaka kukianza najikuta nilishasahau inabidi nianze mwanzo.
Mein Kempf cha Adolf Hitler
I love itRichest man in babylon.
Read that tooFool dies cha mario puzo,yaani kimebadili kabisa maisha yangu.
Nimekisoma piaWhats Better Than Money cha James Hardley Chase
Mkuu, naweza nikapata Soft copy Ya Hii Kitu.View attachment 153768
THINK BIG ni miongoni mwa vitabu vilivyowahi kunivutia. Story yake inaonyesha jinsi ambavyo Hakuna Mtu ambaye hana uwezo. Kutoka Kuwa mtu wa mwisho darasani hadi kuwa daktari bingwa duniani mwenye kuheshimiwa. Prinsciples za kawaida tu ambazo zilitumiwa na mama asiyejua elimu. akifanya kazi kama HOUSEGIRL kwenye nyumba za matajiri aliwawezesha vijana wake wawili mmoja kuwa Engineer na mwingine kuwa Daktari bingwa duniani.
Talent: Our Creator has endowed all of us not just with the ability to sing, dance or throw a ball, but with intellectual talent. Start getting in touch with that part of you that is intellectual and develop that, and think of careers that will allow you to use that.
Honesty: If you lead a clean and honest life, you don't put skeletons in the closet. If you put skeletons in the closet, they definitely will come back just when you don't want to see them and ruin your life.
Insight: It comes from people who have already gone where you're trying to go. Learn from their triumphs and their mistakes.
Nice: If you're nice to people, then once they get over the suspicion of why you're being nice, they will be nice to you.
Knowledge: It makes you into a more valuable person. The more knowledge you have, the more people need you. It's an interesting phenomenon, but when people need you, they pay you, so you'll be okay in life.
Books: They are the mechanism for obtaining knowledge, as opposed to television.
In-Depth Learning: Learn for the sake of knowledge and understanding, rather than for the sake of impressing people or taking a test.
God: Never get too big for Him.
Kipo vizur48 laws of power
soft copy kweli sina hakika ila hardcopy zipo zinauzwa madukani mkuuMkuu, naweza nikapata Soft copy Ya Hii Kitu.
Kweli kipo vyema ngoja nikicheki na mimiTao Te ching kitabu kizuri. Mfano wa sentensi mbili, tatu.
Knowing others is wisdom; Knowing the self is enlightenment.
Mastering others requires force; Mastering the self requires strength;
He who knows he has enough is rich. Perseverance is a sign of will power.
Difficult and easy support each other, Long and short define each other
High and low depend on each other, Before and after follow each other
There is time for being ahead, and time of being behind
A time for being in motion, and time for being at rest
Atime for being vigorous, A time for being exhausted
A time for being safe, a time for being in danger
Kweli kipo vyema ngoja nikicheki na mimi
Shukran Kwako AchA nikutafuteThe Prince: by Niccolo Machiavelli is a decent book.
Weka na link a asa tuvisome