Kitabu changu kipo karibuni kutoka chenye title" DUNIA IMEINAMA"

Kwa uandishi huu we ni mtunzi wa vitabu kweli. Ukiwa mtunzi cha kwanza unatakiwa uwe mshawishi wa mtu kutamani kukisoma
 
Ukiandika hicho kitabu ulkuwa binuliwa umeframa au umeinama, idea yako hapo juu ni zero hauwezi hata kukipromote hicho kitabu. Ngoja nikupe hint, hicho kitabu kinaelezea nini kina nini kizuri msomaji au mlengwa atakipenda kina husiana na nini mapenzi vita maisha siasa uchumi dini michezo au ni dunia kiujumla.
Wewe sio author unaingilia fani za watu, achaaa!! Kabisa kama sio kipaji chako usiwa kama mzee flani..
 
Mbona unamkatisha tamaa mwenzako mkuu?
 
Mbona umekurupuka mkuu? Kaa vizuri utulie tuletee blurb na mkondo wake mf. Ni kazi ya kufikirika au ni matukio ya kweli? Ni ushairi, tamthiliya au riwaya? Hadhira lengwa ni ipi? Mchapishaji ni nani? Kitatoka lini na bei yake itakuwaje? Kama una ganda lake tayari tuwekee pia.

Yote kwa yote hongera sana mkuu kwa sababu kuandika kitabu siyo kazi rahisi kama wengi wanavyodhani. Binafsi kikitoka nitakinunua NA KUKISOMA na hata ukitaka kukiandikia uhakiki (review), kuutuma magazetini na kuuchapisha mtandaoni naweza kufanya hivyo.
 
Nakubaliana na mtunzi wa kitabu kwa title hiyo kuwa dunia imeinama. Si twafahamu kuwa kila wakati dunia hujizungusha ktk mhimili wake na kukamilisha mzunguko 1 ndani ya masaa 24 ambapo ndio twapata usiku na mchana. Dunia kama tufe ili izunguke lazima sehemu fulani ziiname chini na sehamu zingine zipande juu hasa zile ambazo hazipo kwenye ncha za mhimili huo wa kufikirika. Jaribu kuzungusha hata chungwa utakubaliana na mwandishi wa kitabu.
 
Back
Top Bottom