Kitabu cha pesa zako zinanuka sasa kinapatikana...

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
Kwa mara nyingine tena, napenda kuwataarifu wapenzi wa vitabu vya riwaya kuwa sasa Kitabu ca PESA ZAKO ZINANUKA kinapatikana kwa bei ya shilingi 10,000 tu. Unaweza kupata Posta mpya, mkabala na sanamu la askari na Kinondoni kituo cha kanisani.
Mbali na kitabu hiko, pia kuna aina kumi na moja ya vitabu vya Mtobwa kama ifuatavyo.
1/ Dar es salaam usiku 10,000
2/ Kiguu na njia 15,000
3/ Tutarudi na roho zetu? 10,000
4/ Mikononi mwa nunda 10,000
5/ Salamu toka kuzimu 10,000
6/ Malaika wa shetani 10,000
7/ Zawadi ya ushindi 7,000
8/ Mikataba ya kishetani 10,000
9/ Roho ya paka 10,000
10/ Najisikia kuua tena 10,000
11/Mtambo wa mauti 10,000
Kwa wote mnaohitaji karibuni sana. Na kwa mawasiliano zaidi tafadhali tuwasiliane kwa namba 0763044459.
 
Kwa kuwa Posta zote wana huduma ya EMS basi ingekuwa vyema kama binti uliyetukuka wa Mwandishi Mahiri Ben Mtobwa, uzitumie kusambaza vitabu pendwa vya babayo. NB naandaa mia moja elfu plus kwa ajili ya nakala zote za babayo RIP.
 
Shukrani mkuu
 
kwa wale ambao wapo zanzibar, tutakuwepo tarehe 11 na 12, unaweza kuweka oda yako kwa simu namba 0763044459
 
Back
Top Bottom