Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,249
- 14,089
Inaonekana hayupo hapa TZ. Labda akirudi.Inshallah ngoja tupate na kauli ya zitto junior
Mimi nimejifunza mengi sana kwako Mshana jr.
Ndio maana huwa sikubishii ila nakusikiliza tu unavyotema cheche.
Hata Zitto jr, huwa namsikiliza tu na si mbishii.
Nachukua madini ya Hekima kwenu nyie wote.
Salute kwenu