JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,594
- 1,384
Mi nahisi hakijakamilisha taarifa zote ndio maana baadhi ya Taarifa hazijulikani..GENESIS, hiki kitabu kina mambo makubwa, watu wengi duniani wamejitahidi kukielezea/kutafsiri, lakini naona bado sana, kimevuka uwezo wa kufikiri wa binadamu wa kawaida.