hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
HahaaaHuko kwao mwizi anatoa kitabu ? Kweli maendeleo hayana chama. Na ccm waandike wanavyoiba kura watapiga pesa sana hasa nchi za africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kuna Mtu anataka kujifunza kuiba Google Search engine Waka Direct Jamii Forums?Maneno yako kama vile yana ukweli ndani yake!!!!1Nadhan kuna ntu alkua anatafta
Mbinu za kuiba googke wakamdirect jf
Ndo uzi umefufuka hahaha dah
Sijaandika google rudia kusoma !Yaani kuna Mtu anataka kujifunza kuiba Google Search engine Waka Direct Jamii Forums?Maneno yako kama vile yana ukweli ndani yake!!!!1View attachment 992146
Na Mimi nimecommentSijaandika google rudia kusoma !
Sent using Jamii Forums mobile app