Kitabu cha kanuni za Bunge la Tanzania

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Wanajamiiforums,naomba mwenye kitabu cha kanuni za Bunge hatuwekee angalau tuisome humu jamvin..tuone mambo yanaendaje...!
"Vox populi,Vox dei"
 
Wanajamiiforums,naomba mwenye kitabu cha kanuni za Bunge hatuwekee angalau tuisome humu jamvin..tuone mambo yanaendaje...!
"Vox populi,Vox dei"

Hapa ni Jamii Forum, ambapo watu wana maghorofa kule Masaki, Oysterbay lakini hapa panawatetemesha haijawahi kutokea, kwani hakuna kinachoshindikana humu. Wakisikia jina Jamii Forum mioyo inatetemeka.

Mfano ni hili la Kanuni za Bunge ambazo ninakupa na wewe ugawe kwa wengi.

Fungua attachment niliyoambatanisha.
 
Wakuu,

NIlituma kitabu cha kanuni za Bunge kwenye post yangu mwaka jana. (Bonyeza hapa). Kanuni hizo zilikuwa ni tolea la mwaka 2007.

Sasa, leo nasikiliza Bunge nimesikia kuna tolea la mwaka huu yaani 2013.

Naomba mwenye nazo atusaidie kama ambavyo tumekuwa tukisaidiana yaani atupatie softcopy, ili twende sawa pale inapohitajika.

Wenu JF Member.
 
hapa ni jamii forum, ambapo watu wana maghorofa kule masaki, oysterbay lakini hapa panawatetemesha haijawahi kutokea, kwani hakuna kinachoshindikana humu. Wakisikia jina jamii forum mioyo inatetemeka.

Mfano ni hili la kanuni za bunge ambazo ninakupa na wewe ugawe kwa wengi.

Fungua attachment niliyoambatanisha.

udumu muzee!

 
Back
Top Bottom