Kitabu cha Gaddafi, THE GREEN BOOK

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Ndugu zangu wana fikra nzito!!! Ninajua wengi wetu tumeumia na tunasikitika na yanayotokea Libya.

Mimi ni mpenzi mkubwa wa siasa za Kanali Gaddafi. Ninapenda ku-share nanyi kitabu chake kinachoitwa THE GREEN BOOK.

Ninacho hitaji kwenu ni kunielewesha namna ya ku-upload kitabu hicho ambaacho ninacho katika soft copy. Nielekezeni namna ya ku-upload ili nanyi muweze kukipata.
 
Mkuu kama unatumia computa attach kama picha. Nitafurahi kukisoma mm pia ni mfwasi wa Gadaf japo ana mapungufu yake lakini Libya watamkumbuka. Bora kuwa na kiongozi kama Gadaf kuliko kubadili viongozi kila temu na kila anayeingia bora aliyepita
 
Mkuu Companero

Mbona uchafu? sijaona kitabu kipo hivyo toka nizaliwe hata magazeti hamna ya namna hiyo.

KIU lazima ukute pale Shigongo amemwaga wimo na kukiri kuwa hilo ndilo kiu lenyewe hii naona kichekesho maanajabu maana hata barua lazima iwe na jina na anwani ya mwandishi na mwandikiwa.
 
Ndugu zangu wana fikra nzito!!! Ninajua wengi wetu tumeumia na tunasikitika na yanayotokea Libya.

Mimi ni mpenzi mkubwa wa siasa za Kanali Gaddafi. Ninapenda ku-share nanyi kitabu chake kinachoitwa THE GREEN BOOK.

Ninacho hitaji kwenu ni kunielewesha namna ya ku-upload kitabu hicho ambaacho ninacho katika soft copy. Nielekezeni namna ya ku-upload ili nanyi muweze kukipata.
Hapo kwenye RED mimi nimefurahishwa na kufarijika kwa yanayotokea Libya kumng'oa dikteta Gaddafi.
 
Mkuu Companero

Mbona uchafu? sijaona kitabu kipo hivyo toka nizaliwe hata magazeti hamna ya namna hiyo.

KIU lazima ukute pale Shigongo amemwaga wimo na kukiri kuwa hilo ndilo kiu lenyewe hii naona kichekesho maanajabu maana hata barua lazima iwe na jina na anwani ya mwandishi na mwandikiwa.

Mkuu sijakuelewa, huamini kuwa hii ni nakala ya Green Book na kuwa kwa kiasi fulani inafanana na Azimio la Arusha - cheki dondoo:

NEED
The freedom of a human being is lacking if his or her needs are controlled by others, for need may lead to the enslavement of one person by another. Furthermore, exploitation is caused by need. Need is an intrinsic problem and conflict is initiated by the control of one's needs by another.
HOUSING
Housing is an essential need for both the individual and the family and should not be owned by others. Living in another's house, whether paying rent or not, compromises
14freedom. Attempts made by various countries to solve the housing problem did not provide a definite solution because such attempts did not target the ultimate solution - the necessity that people own their dwellings - but rather offered the reduction, increase, or standardization of rent, whether it went to privately or publicly-owned enterprise. In a socialist society, no one, including society itself, has the right to control people's needs. No one has the right to acquire a house additional to his or her own dwelling and that of his or her heirs for the purpose of renting it because this additional house is, in fact, a need of someone else. Acquiring it for such a purpose is the beginning of controlling the needs of others, and "in need freedom is latent".
INCOME
Income is an imperative need for man. In a socialist society, it should not be in the form of wages from any source or charity from any one. In this society, there are no wage-earners, but only partners. One's income is a private matter and should either be managed privately to meet one's needs or be a share from a production process of which one is an essential component. It should not be a wage in return for production.
MEANS OF TRANSPORTATION
Transportation is also a necessity both to the individual and to the family. It should not be owned by others. In a socialist society, no person or authority has the right to own a means of transportation for the purpose of renting it, for this also means controlling the needs of others.
LAND
Land is the private property of none. Rather, everyone has the right to beneficially utilize it by working, farming or pasturing as long as he and his heirs live on it - to satisfy their needs, but without employing others with or without a wage. If lands were privately owned, only the living would have a share in it.
Land is permanent, while those who benefit from the land undergo, in the course of time, changes in profession, capabilities and existence.
The aspiration of the new socialist society is to create a society which is happy because it is free. This can only be achieved by satisfying, man's material and spiritual needs, and that, in turn, comes about through the liberation of these needs from the control of others. Satisfaction of these needs must be attained without exploiting or enslaving others; otherwise, the aspirations of the new socialist society are contradicted.
Thus, the citizen in this new society secures his material needs either through self- employment, or by being a partner in a collectively-owned establishment, or by rendering public service to society which, in return, provides for his material needs.

Chanzo: http://911-truth.net/other-books/Muammar-Qaddafi-Green-Book-Eng.pdf
 
Hivi kuna watu wanapoteza muda kuwasoma hawa madikteta kama kina Gaddafi?

Sasa huyu anakaa kwenye power miaka 42 kama mfalme na watu wanataka kumsoma bado? Ana tofauti gani na Kim Il Sung na Juche?

Sababu pekee ya kusoma kitabu hiki ni kuchunguza delusion za megalomaniac narcissistic personalities tu.

Bora hata Nyerere aliposhindwa alijua kuachia ngazi.
 
Ndugu zangu wana fikra nzito!!! Ninajua wengi wetu tumeumia na tunasikitika na yanayotokea Libya.

Mimi ni mpenzi mkubwa wa siasa za Kanali Gaddafi. Ninapenda ku-share nanyi kitabu chake kinachoitwa THE GREEN BOOK.

Ninacho hitaji kwenu ni kunielewesha namna ya ku-upload kitabu hicho ambaacho ninacho katika soft copy. Nielekezeni namna ya ku-upload ili nanyi muweze kukipata.
Books are full of lies.........mimi sitaki hata kukisikia.
 
Duh!Kumbe Gadaf anajua kingeleza..Mi nkadhani kaweka mgomo baridi hadi katika kuongea kingeleza.
 
Mkuu sijakuelewa, huamini kuwa hii ni nakala ya Green Book na kuwa kwa kiasi fulani inafanana na Azimio la Arusha - cheki dondoo:

NEED
The freedom of a human being is lacking if his or her needs are controlled by others, for need may lead to the enslavement of one person by another. Furthermore, exploitation is caused by need. Need is an intrinsic problem and conflict is initiated by the control of one's needs by another.
HOUSING
Housing is an essential need for both the individual and the family and should not be owned by others. Living in another's house, whether paying rent or not, compromises
14freedom. Attempts made by various countries to solve the housing problem did not provide a definite solution because such attempts did not target the ultimate solution - the necessity that people own their dwellings - but rather offered the reduction, increase, or standardization of rent, whether it went to privately or publicly-owned enterprise. In a socialist society, no one, including society itself, has the right to control people's needs. No one has the right to acquire a house additional to his or her own dwelling and that of his or her heirs for the purpose of renting it because this additional house is, in fact, a need of someone else. Acquiring it for such a purpose is the beginning of controlling the needs of others, and "in need freedom is latent".
INCOME
Income is an imperative need for man. In a socialist society, it should not be in the form of wages from any source or charity from any one. In this society, there are no wage-earners, but only partners. One's income is a private matter and should either be managed privately to meet one's needs or be a share from a production process of which one is an essential component. It should not be a wage in return for production.
MEANS OF TRANSPORTATION
Transportation is also a necessity both to the individual and to the family. It should not be owned by others. In a socialist society, no person or authority has the right to own a means of transportation for the purpose of renting it, for this also means controlling the needs of others.
LAND
Land is the private property of none. Rather, everyone has the right to beneficially utilize it by working, farming or pasturing as long as he and his heirs live on it - to satisfy their needs, but without employing others with or without a wage. If lands were privately owned, only the living would have a share in it.
Land is permanent, while those who benefit from the land undergo, in the course of time, changes in profession, capabilities and existence.
The aspiration of the new socialist society is to create a society which is happy because it is free. This can only be achieved by satisfying, man's material and spiritual needs, and that, in turn, comes about through the liberation of these needs from the control of others. Satisfaction of these needs must be attained without exploiting or enslaving others; otherwise, the aspirations of the new socialist society are contradicted.
Thus, the citizen in this new society secures his material needs either through self- employment, or by being a partner in a collectively-owned establishment, or by rendering public service to society which, in return, provides for his material needs.

Chanzo: http://911-truth.net/other-books/Muammar-Qaddafi-Green-Book-Eng.pdf
Companero

Don't be blinded by books of politics and politicians most of them containing lots of rumors and lies, they preach democracy they practize ridiculous.
 
Bora hata Nyerere aliposhindwa alijua kuachia ngazi.
Hana ubora katika hilo. Nyerere alitawala nchi miaka 25, akakalia mamlaka ya uongozi wa CCM na TANU miaka 36. Ni wale wale.

Azimio la Arusha ni la Nyerere binafsi na Kitabu cha Kijani ni cha Gaddafi binafsi, tofauti ni ya kizuoni tu. Gaddafi alikandamiza watu kidikteta akajenga uchumi wa nchi kwa kujaaliwa mafuta. Nyerere alifumua uchumi wa nchi akajenga Taifa moja kwa kujaaliwa umoja wa asili wa Watanzania na upeo wao mdogo wakati huo.

Tofauti kubwa ni katika idadi ya watu waliouawa chini ya himaya za mikono yao ya chuma.
 
Gadhaffi was full of crap. Him and his family used the Libyan oil wealth to satisfy their own personal ambitions which were not in align with the Libya's national interests. For them Libya was like their own farm, and nobody was allowed to question anything about Libya's resources. Unless you are illiterate, you wouldn't support this dictator that used Libya's oil for his own benefit, and not for the majority of Libya. Now Ghadhafi is like a a piece of shit waiting to be flashed down the toilet.
I hope Gadhafi rots in hell!!!!
 
Mkuu wewe mwenye upeo mkubwa umelifanyia nini Taifa hili? nauliza tu.
 
Ndugu zangu wana fikra nzito!!! Ninajua wengi wetu tumeumia na tunasikitika na yanayotokea Libya.

Mimi ni mpenzi mkubwa wa siasa za Kanali Gaddafi. Ninapenda ku-share nanyi kitabu chake kinachoitwa THE GREEN BOOK.

Ninacho hitaji kwenu ni kunielewesha namna ya ku-upload kitabu hicho ambaacho ninacho katika soft copy. Nielekezeni namna ya ku-upload ili nanyi muweze kukipata.

Anachofanyiwa Ghadafi sasa hivi ndicho alichokifanya dhidi ya Tanzania miaka 32 iliyopita pale alipoleta wanajeshi na silaha kubwa kubwa za kivita kumsaidia Iddi Amini Dada kuwauwa raia na wanajeshi wa Tanzania wakati wa vita ya Kagera. Sijawahi kumsamehe Ghadafi kwa kosa hilo kwani kuna wanajeshi na raia wengi wa Tanzania waliuawa kwa sababu ya uamuzi wa Ghadafi wakati huo. Waswahili walisema ukiua kwa upanga na wewe jiandae tu kuuliwa kwa upanga.
 
Gadhaffi was full of crap. Him and his family used the Libyan oil wealth to satisfy their own personal ambitions which were not in align with the Libya's national interests. For them Libya was like their own farm, and nobody was allowed to question anything about Libya's resources. Unless you are illiterate, you wouldn't support this dictator that used Libya's oil for his own benefit, and not for the majority of Libya. Now Ghadhafi is like a a piece of shit waiting to be flashed down the toilet.
I hope Gadhafi rots in hell!!!!

Don't forget that he also did to other african countries what NATO is currently doing to him. Tanzania was one of the victim's of Ghadafi's interventionist policies.
 
Kwani binadamu kila mmoja anaupenzi wake kwa kuna wanaompenda gadafi
na wanaomchukia sana mbona wengine wakiona rangi za njano na kijani pale jagwani
wanatapika hivyo ni upenzi tuuu wa binadamu
 
Wataalam wanasema upenzi ni ugonjwa wa akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom