Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,366
- 217,409
Wakuu kwanza hongereni kwa neema ya mvua kubwa popote mlipo nchini Tanzania, wacha inyeshe ili tuone panapovuja.
Leo kama ilivyo kawaida ya siku za wiki, habari kubwa ni ile ile ya siku zote ya Mh Mbowe kufikishwa Mahakamani na kuteka vyombo vyote vya habari vya dunia, sasa jambo kubwa leo ni kitabu alichokibeba na kukionyesha hadharani.
Hiki kitabu ndani yake kumeandikwa mambo gani ?