Kitabu alichoonyesha Freeman Mbowe Mahakamani kina ujumbe gani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Wakuu kwanza hongereni kwa neema ya mvua kubwa popote mlipo nchini Tanzania, wacha inyeshe ili tuone panapovuja.

Leo kama ilivyo kawaida ya siku za wiki, habari kubwa ni ile ile ya siku zote ya Mh Mbowe kufikishwa Mahakamani na kuteka vyombo vyote vya habari vya dunia, sasa jambo kubwa leo ni kitabu alichokibeba na kukionyesha hadharani.

The_dead_are_arising_!_ujumbe_wa_Mhe.Freeman_Mbowe_leo_mahakamani.jpg

Hiki kitabu ndani yake kumeandikwa mambo gani ?
 
Sio rahisi kujua kilichoandikwa kama hujakisoma hicho kitabu. Maadamu wamekiona, basi waliosoma watujuze kilichomo japo kwa muhtasari, na ambao bado kukisoma basi tukitafue na kukisoma. Ila kitabu kimepata tangazo la mauzo la bure kabisa!
 
Mbowe anamuombea Magufuli sasa?
Too late aendelee kushangilia kama alivyofanya kwenye ki video chake.
 
Wakuu kwanza hongereni kwa neema ya mvua kubwa popote mlipo nchini Tanzania, wacha inyeshe ili tuone panapovuja.

Leo kama ilivyo kawaida ya siku za wiki, habari kubwa ni ile ile ya siku zote ya Mh Mbowe kufikishwa Mahakamani na kuteka vyombo vyote vya habari vya dunia, sasa jambo kubwa leo ni kitabu alichokibeba na kukionyesha hadharani.

Hiki kitabu ndani yake kumeandikwa mambo gani ?
Vyombo vyoote vya habari duniani vinazungumzia kesi ya mh mbowe isipokuwa uhuru na mzalendo
 
Sio rahisi kujua kilichoandikwa kama hujakisoma hicho kitabu. Maadamu wamekiona, basi waliosoma watujuze kilichomo japo kwa muhtasari, na ambao bado kukisoma basi tukitafue na kukisoma. Ila kitabu kimepata tangazo la mauzo la bure kabisa!
Hayo ndiyo madhara ya kuoigania ukombozi.
 
Nilichoelewa Mliodhania alietangulia kufa kwake ni mwanzo wa ukurasa mpya wa democrasia basi mumepotoka!! Mambo ni yale yale na fimbo ya Kupigia ni ileile
 
Back
Top Bottom