Kitabu alichoonesha Freeman Mbowe alipokuwa anaingia Mahakamani kina ujumbe gani?

Ukweli gani na haki anayoisimamia Mbowe, au unafuata #Hashtag za Mbowe siyo gaidi? Mbowe angekuwa mtu wa haki angeruhusu Chacha Wangwe agombee mwaka 2008/09! Mbowe añgekuwa mtu wa haki asingemfukuza Zitto Kabwe alipotaka kugombea Uenyekiti mwaka 2010.

Mbowe añgekuwa mtu wa haki asingemnyang'anya Dr Slaa haki ya kugombea uRais wa Tanzania mwaka 2015 na kumpa Lowassa baada ya Lowassa kumpa Tsh 10 Billion
Ndugu yangu, mwenzio huwa siamini katika kumhukumu kwa POROJO.
-Chacha Wangwe alipata ajali ya gari na kupoteza maisha, lakini kama unao ushahidi/vielelezo vinavyoweza kuthibitisha vinginevyo nadhani itakuwa ni busara ukavipeleka kwenye vyombo vy dola. Kama hauna pia utaonyesha hekima kama ukiliacha na kujinyamazia.
-Marehemu mama yake Zitto akiwa mjumbe, Kamati Kuu iliwaona Zito MM1 na wenzie wana makosa ya kula njama za kutaka kuunng'oa uongozi. Kitila Mkumbo MM2 alikiri na Mathias (......) MM3 alikamatwa na ushahidi. Hata hivyo, wote walikwisha mtosa na kurudi kwao CCM.
-Dr Slaa alijua na alishiriki katika hatua na ngazi zote za kumpokea Lowasa akitokea CCM. Lakini alipobadilika alitumia haki yake, akajiuzulu.
-Hilo la tshs 10 billion, HAUJACHELEWA, nalo yafaa ulipeleke TAKUKURU kama ilivyokuwa kwa akina Lijualikali/Ndugai, lakini ukiwa hauna ushahidi/vielelezo NAWE utaishia kuwa kichekesho/kituko vilevile
 
Kitabu muhimu cha kukuweka Bussy wakati unapoandamwa na Mazero IQ's
 
Wewe ni mchanga kwenye mambo haya. Unasubiri kusoma Tanzania Daima ndiyo ikujuze.
 
Ukweli gani na haki anayoisimamia Mbowe, au unafuata #Hashtag za Mbowe siyo gaidi? Mbowe angekuwa mtu wa haki angeruhusu Chacha Wangwe agombee mwaka 2008/09! Mbowe añgekuwa mtu wa haki asingemfukuza Zitto Kabwe alipotaka kugombea Uenyekiti mwaka 2010.

Mbowe añgekuwa mtu wa haki asingemnyang'anya Dr Slaa haki ya kugombea uRais wa Tanzania mwaka 2015 na kumpa Lowassa baada ya Lowassa kumpa Tsh 10 Billion
Una ushahid wa haya usemayo?au unaamua tu kusema ili kufurahisha wanaokutuma?
 
Back
Top Bottom