Kiswahili sasa kinakata mbuga kutoka Tanzania kilipo zaliwa hadi Amerca Kusini... "HAKUNA MATATA"

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,982
14,745
Kiswahili kinaposafiri kutoka Afrika Mashariki hadi Amerika Kusini. Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Andrea Schmidt, alikutana na mtumbwi huu ulioandikwa neno HAKUNA MATATA kwenye pwani ya Chile hivi karibuni. Je, umewahi kuliona wapi neno la Kiswahili likitumika mbali sana na Afrika Mashariki?

67713218_2697674480277862_2877980546221211648_n.jpg


C&P Dw...
 
Hakuna matata linatumika world wide sababu ya movie ya lion king,

Ila kichekesho zaidi ni kwamba japo ni neno la lugha ya kiswahili na origin yake ni East Africa na haliwahusu hata kidogo hao wamarekani, Disney wameli trade mark na Hilo neno linamilikiwa na Disney (Ukoloni)

Hivyo huyo mwenye Boti Kama analitumia Kibiashara anatakiwa apate ruhusa ya Disney.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom