Kiswahili ni chanzo cha uvivu na kufikiria?

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
319
276
Wanajamvi.
Leo katika kupita zangu page ya Simu.TV ya youtube nimekutana na hii mada ya Kiswahili na uvuvi wa kufikiri na kutenda. Mtafiti huyu amesema amefanya utafiti ndani na nje ya nchi kuhusu hili na alichogundua kuwa watumiaji wa kiswahili ni wavivu wa kufikiri na kutenda.

Case study zake ni Tanzania , Kenya ...Burundi ...Uganda .NK

Je, ni kweli watumaji wa Kiswahili ni wavivu wa kufikri na kutenda?

Karibuni.

Nimeambatisha Hii link ya You Tube hapa chini. muitazame muone huyu mtafiti alivyofanya utafiti wake wa kwanini maeneo mengi kiswahili kinakozungumzwa sana watuw wake ni wavivu wa kifikiria. baadhi ya maeneo ni kama kanda ya kusini huko Mtwara,Mombasa, Pwani....NK

Source Simu.Tv na CH 10.

Sio kiswahili tu, Wakati bado tuko tumboni mwa wazazi wetu, Mama zetu hawakula virutubisho vya kutosha ili watoto tukue squarely. Sasa wengi hasa tuliozaliwa vijijini tulizaliwa na ubongo ambao haujakomaa. Madhara yake ni kuchoka mapema unapotaka kufikiri kwa kina au kuchukua hatua kubwa katikati ya changamoto.

Lugha haijawahi kuwa sababu ya kutokufikiri, majungu na uvivu duniani kote.
 
Yaani tafiti zote bongo ni kwa upande wa negative tu watafiti wetu hawana mda wa kufanya utafiti wakutatua changamoto kazi ipo bongolala
 
Inawezekana kuna ukweli Fulani, maandiko mengi duniani ambayopia ni chanzo cha maarifa yapo kwa lugha za kiingereza, kifaransa, kilatini na lugha zingine za mkoloni, na pia mswahili hapendi kabisa kusoma vitu vigumu vinavyoleta changamoto kwenye akili!
 
Wanajamvi.
Leo katika kupita zangu page ya Simu.TV ya youtube nimekutana na hii mada ya Kiswahili na uvuvi wa kufikiri na kutenda. Mtafiti huyu amesema amefanya utafiti ndani na nje ya nchi kuhusu hili na alichogundua kuwa watumiaji wa kiswahili ni wavivu wa kufikiri na kutenda.

Case study zake ni Tanzania , Kenya ...Burundi ...Uganda .NK

Je, ni kweli watumaji wa Kiswahili ni wavivu wa kufikri na kutenda?

Karibuni.

Nimeambatisha Hii link ya You Tube hapa chini. muitazame muone huyu mtafiti alivyofanya utafiti wake wa kwanini maeneo mengi kiswahili kinakozungumzwa sana watuw wake ni wavivu wa kifikiria. baadhi ya maeneo ni kama kanda ya kusini huko Mtwara,Mombasa, Pwani....NK

Source Simu.Tv na CH 10.

Bob Marley alisema emancipate your self from mental slavery ... on sasa anaona lugha yetu ndiyo adui yetu, wkt Dunia nzima inatambua kwamba TZ yetu ndiyo nchi pekee ambayo inatumia lugha yake na imekuwa case study Dunia nzima, leo hii takataka fulani anakuja kuona Kiswahili chetu ndiyo adui kama ni hivyo ni kwa nini Uganda, Malawi & Co hawana higher living standards kutuzidi? Adui wa Afrika ni Muafrika sasa anampigania vita Mzungu kazi ambayo ilipaswa kufanywa na Mzungu huyu nigga anaifanya!
 
Back
Top Bottom