Kiswahili kimezingatiwa kweli?Hii ni wizara mjue. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiswahili kimezingatiwa kweli?Hii ni wizara mjue.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Jun 23, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,329
  Likes Received: 19,496
  Trophy Points: 280
  NI AFISI au OFISI?
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hiyo mobile phone number haipatikani...ipo kweli?


  [​IMG]
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,329
  Likes Received: 19,496
  Trophy Points: 280
  Kama wapo right msinishambulie tu...
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,329
  Likes Received: 19,496
  Trophy Points: 280
  NI AFISI au OFISI?
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Zanzibar hakuna OFISI wala OFISA............ ni AFISI na AFISA........wako sawa kivyao...na hakuna SHULE iko SKULI.....Hakuna SOKO ila MARIKITI
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Ni maswali au maswala?
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mahali au mahala?
  Mahali au pahala?
  Jambo lilolotokea au Jambo lililotokezea?
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,329
  Likes Received: 19,496
  Trophy Points: 280
  ok,nimekusoma
   
 9. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hicho ndicho kiswahili fasaha kwao; vibao vya shule vimeandikwa SKULI YA....

  Hiyo namba ina code number ya zamani ya zantel nafikiri ukiweka 0777 utaipata
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani kabla haujakurupuka na kuanza kutoa shutuma ungejipanga kwanza na kiswahili chako.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,329
  Likes Received: 19,496
  Trophy Points: 280
  read post number 3..kindergaten.
   
 12. f

  fidodido Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  kwa Zanzibar wako sahihi ni kiswahili cha kale au kimvita wanachotumia
   
 13. C

  Chipoku Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  MWANDISHI YUKO RIGHT , ITS AFISI NA SIO OFISI ie ofisi ni matamshi ya kiinglish but in kiswahili aka TUKI NI AFISI , NA MASUALA NI SAHIHI PIA ! M CONSULT TUKI , MLETA STATUS BUT HIZI NAMBA ZA SIMU ZITAKUWA ZA ....... , SIO TZ !
   
 14. C

  Chipoku Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sahihi ni pahala ikiimaanisha sehemu fulani ! Na sio mahali
   
 15. C

  Chipoku Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Masuala sio maswala
   
 16. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Ni Afisi na si Ofisi......

  Afisa na si Ofisa............
   
 17. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  P.O. Box?S.L.P.?,Fax?Tahrishi?,Tel no?Simu? Kwa kifupi hawakuwa makini katika kuandika bango hilo.
   
 18. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Hata wao school wanaita skul
   
 19. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Kwa nyongeza tu....

  Kuna kitu kinaitwa Lahaja na kwenye Lahaja kuna lugha za kitarafa(vipengele vya lugha za kieneo).......

  Katika kiswahili Lahaja hutofautishwa kulingana na eneo husika,hapa tunakutana na vitu kama vile kiunguja(Kiswahili cha visiwa vya Zanzibar), Kingazija(Kiswahili cha visiwa vya Comoro), Kimvita(Kiswahili cha Mombasa) na Kiamu(Kiswahili cha Lamu n.k) .......Badhi ya maneno yametoholewa moja kwa moja na kuwa misamiati rasmi katika eneo husika mfano skuli(shule), marikiti(soko), ofisi(afisi) n.k......

  Ni kama vile kiingereza kina lahaja na misamiati inayozungumzwa tofauti ndio maana kuna Kiingereza cha kimarekani(American English), Kiingereza cha uhindini( Indian English), Kiingereza cha kiaustralia(Australian English), Kiingereza cha Uingereza kwenyewe(English) na sasa kuna kiingereza cha Kinaija(Nigerian English).....Kuna misamiati(katika kiingereza) inatofautiana kati ya eneo na eneo katika hayo hapo juu.............
   
 20. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwenye anuani naona kama kiswahili hakikutumika. Sina hakika aliyeanzisha thread alikuwa anamaanisha hilo au tofauti ya AFISI na OFISI.
  Nawakilisha.
   
Loading...