Kiswahili kibovu kipindi cha Watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiswahili kibovu kipindi cha Watoto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fmhema, May 31, 2009.

 1. f

  fmhema Member

  #1
  May 31, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana jumamosi nilisikiliza kipindi cha watoto katika redio fulani lakini ilinisikitisha jinsi muongozaji (mtoto mwenzao) alivyokuwa anahribu kiswahili. Kwa mfanoalikuwa anawauliza wenzie "ukiamkaga asubuhi unafanyaga nini?" Je huwa unaamkiaga wazazi wako? n.k. Kwa uelewa wangu ni kwamba vyombo vya habari ni nyezo muhimu ya kueleimisha jamii. Inasikitisha kuona kuwa wasimamizi wa vyombo hivyo hawazingatii ubora wa waendeshaji wa vipindi hivyo. Au ni kwa sababu ni vya watoto?
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  May 31, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  huyo mtoto lazima atakuwa ni msukuma maana wao ndio wanaopenda kukandamizaga maneno.
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Weeee, weeeeee!!!!!
  "mama, maji kwenye mtungi hayamomo, tuliendaga kisimani kuchotaga maji na tulipofikaga TUKATUMBUKIAMO..."
   
Loading...