Kiswahili cha Tanga

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
kutupa taka.jpg

Juzi katika pitapita yangu ziarani Tanga nimekutana nahii. umeipendaje?
 
wantaka wewe!.. hiki nacho ni kiswahili sadifu? Tanga kunani.
 
Tanga unaogeshwa kwa mimaji ya hiriki,kisosi cha moto kwenye mapokeo ya ikulu,tanga tanga yarabi tobaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums



Nkwingwa haya mambo ndio nayakataaga siku zote,tukalie kuogeshana na maji yenye hiliki jembe tutashika saa ngapi..??
 
mbona mwataka kutuchamba siye watu wa Tanga, kwani nyie huwa mwaongea vipi hicho kiswahili?
 
Tanga raha,kuna sehemu kama unaingia mjini kuna round about moja imeandika maneno ya kumtaka mwanamke avae mavazi ya heshima.af kwa mwanamke kule ukivaa hovyo utajistukia mwenyewe hakuna tofauti na zanzibar
 
mimi naona concern ya mleta picha ni neno takataka. Ndugu taka peke yake sio kiswahili fasaha.
 
Back
Top Bottom