Watu wahuko ni wastaarabu sana pia wakarimu. Nawapenda sana, na laiti Tanzania nzima tungekuwa na tabia kama watu wa Tanga, basi mambo yangekuwa murua sana!
lol sio nyumbani lakini?
SEMBE WA LUSANGA Watu wote tungekuwa kama watu wa Tanga wanajeshi tungepata wapi?Watu wahuko ni wastaarabu sana pia wakarimu. Nawapenda sana, na laiti Tanzania nzima tungekuwa na tabia kama watu wa Tanga, basi mambo yangekuwa murua sana!
Tanga unaogeshwa kwa mimaji ya hiriki,kisosi cha moto kwenye mapokeo ya ikulu,tanga tanga yarabi tobaa
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Waja leo waondoka leo wantaka leo leo ?