WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,233
Wenzetu wa mikoa ya Pwani, Tanga, Dares Salaam na visiwani huwa nacheka mpaka basi ukiwasikia wanavyoongea kiswahili. Haya ni baadhi ya maneno yao1) Bwana anakuja - aja; 2) Anaenda-aenda; 3) Anapenda- apenda; 4) Kuambiwa-ambiwa; 5) Mama mdogo- odo: 6) Unasemaje-wasemaje;7) Anakula - ala;8) Anakimbia - akimbia;9)10)...Hii ni baadhi tu ya lahaja na utamu wa maneno usiseme.WanaJF nirushieni vimsemo mlivyowahi kukutana/kuvitumia ambavyo huku kwetu bara ni nadra kukutana navyo.