Pia msoga na butiamaWanabodi,
Kiukweli baadhi ya Watanzania ni walalamishi mpaka basi, baada ya rais Magufuli kushinda urais wa Tanzania katika uchaguzi huru, wa haki na wa kidemokrasia, na serikali ikaamua kujenga uwanja wa ndege Chato, kuna watu humu walipinga sana ujenzi wa uwanja huo, mimi ni miongoni mwa wachache tuliounga mkono ujenzi wa uwanja huo
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums
Sasa rais Magufuli yuko Chato, watu humu wanaanza tena kupiga kelele, kwanini rais yuko Chato muda mrefu?.
Japo Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa, lakini kiukweli Kiswahili ni kigumu hata kwa baadhi ya Waswahili wenyewe, hivyo kwa vile ni mmoja wa Watanzania tuliobahatika kuzaliwa mjini, kukulia mjini, kusomea mjini na sasa tunaishi mjini, Kiswahili ndio lugha yetu kuu, tunakimanya vilivyo.
Wengi wasiojua Kiswahili barabara, wanadhani Ikulu ni eneo rasmi specific la makazi ya rais kuishi na kufanyia shughuli zake kama ilivyo Ikulu ya Magogoni au Ikulu ya Chamwino, kumaanisha rais asipokuwa Ikulu ya Magogoni au Chamwino, akiwa pengine popote, anakuwa hayuko kazini, hivyo huku kwenye mitandao ya kijamii sasa kuna kelele za watu kutaka kulazimisha lazima wamuone rais Magufuli na kumsikia akitokea ama Ikulu ya Magogoni, au Ikulu ya Chamwino.
Ikulu sio eneo lolote specific, bali eneo lolote la makazi rasmi ya rais ambapo anaweza kutimiza majukumu yake ya urais, hivyo kwa Tanzania tuna ikulu ya Magogoni, Ikulu ya Chamwino, Ikulu ndogo ya Lushoto na karibu kila mkoa kuna Ikulu ndogo kama ya Arusha, Tanga, Morogoro, Moshi, Iringa, etc, na mikao ambayo haina Ikulu ndogo, then kuna state lodge.
Enzi za Nyerere aliamua yeye hakai Ikulu bali aliishi Msasani, kama angeamua kufanyia kazi zozote za urais hapo Msasani, then pangekuwa ni ikulu ya Msasani. Mwalimu Nyerere alikuwa anakwenda likizo Butiama, wakati akiwa Butiama, akiamua kufanya majukumu yoyote ya kirais, then hapo Butiama panakuwa ni Ikulu ya Butiama.
Kwa muda sasa rais Magufuli yuko kijijini kwake Chato, kwa vile huko Chato anatimiza majukumu yake yote ya urais, then hapo Chato ni ikulu ya Chato, as long as mambo yote yanakwenda, hizi kelele za watu kutaka kumuona rais Magufuli akiwa ikulu ya Magogoni au ikulu ya Chamwino za nini?.
Hii ni press release ya leo
View attachment 1426440
Hitimisho.
Watanzania wazalendo watapenda kumuona rais wao akitimiza majukumu yake ya urais akiwa popote na tungependa rais wetu awe free kukaa mahali popote anapopenda as long as it takes.
Kuna watu wenye akili fupi wanadhani uwepo wa rais Magufuli Chato ni kuikimbia Corona, it's not!, kwa sisi ambao ka Kolona ni kaugonjwa kadogo ambacho hakatishi na tusitishane, ikitokea ka kolona kamekuja, kametukuta watu tuko kwenye vacations zetu, hatuwezi kukatisha vacations zetu kwasababu ya ka kolona na wala hatuwezi kukuambia ka Kolona!.
Watanzania tupunguzeni kulalamika!, Chato ni kijijini kwa rais Magufuli na ni nyumbani kwa rais Magufuli, akiwa likizo au mapumzikoni mjini Chato anakuwa amepumzika kwake kama Mwalimu Nyerere alivyokuwa ana pumzika Butiama, Mkapa Mwinyi pale Mikocheni, Mkapa Masasi, Kikwete Msoga na sasa Magufuli Chato.
Lakini rais akifanya majukumu yake yoyote ya kiraisi akiwa eneo fulani, ikiwemo kuteua, kuapisha, kulihutubia taifa, kukutana na wakuu wa ulinzi na usalama au kuendesha cabinet, then eneo hilo linageuka ni Ikulu!. Hii ni Ikulu ya Chato!.
Paskali
Rejea
Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike - JamiiForums
Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums
Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!. - JamiiForums
Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali - JamiiForums
Msoga na Butiama ni makazi tuu ya rais, hazikuwahi kuwa Ikulu, kwasababu marais wale walikuwa wanakwenda kupumzika na wana pumzika kweli.Pia msoga na butiama
Samwel Sitta Mungu akutehemu maana uliona mbali. Ofisi ya Spika Urambo ilijengwa sehemu sahihi maana Spika wa Bunge ni wa Tanzania nzima hivyo anaweza kuwa na ofisi popote. Baada ya uchaguzi wa mwaka huu tunatarajia Rais ateue wakuu wa mikoa wanaotoka mikoa wanayoongoza iwe rahisi kuongoza kutokea nyumbani. Mfano, Mwakasege akiteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa MBEYA atakuwa na ofisi Mbeya mjini kama makao makuu ya mkoa, Tukuyu mjini, na Mwakaleli ambako ni nyumbani kwake. Kwa hiyo kazi zitafanyika muda wote hata akiwa nyumbani.Wanabodi,
Kiukweli baadhi ya Watanzania ni walalamishi mpaka basi, baada ya rais Magufuli kushinda urais wa Tanzania katika uchaguzi huru, wa haki na wa kidemokrasia, na serikali ikaamua kujenga uwanja wa ndege Chato, kuna watu humu walipinga sana ujenzi wa uwanja huo, mimi ni miongoni mwa wachache tuliounga mkono ujenzi wa uwanja huo
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums
Sasa rais Magufuli yuko Chato, watu humu wanaanza tena kupiga kelele, kwanini rais yuko Chato muda mrefu?.
Japo Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa, lakini kiukweli Kiswahili ni kigumu hata kwa baadhi ya Waswahili wenyewe, hivyo kwa vile ni mmoja wa Watanzania tuliobahatika kuzaliwa mjini, kukulia mjini, kusomea mjini na sasa tunaishi mjini, Kiswahili ndio lugha yetu kuu, tunakimanya vilivyo.
Wengi wasiojua Kiswahili barabara, wanadhani Ikulu ni eneo rasmi specific la makazi ya rais kuishi na kufanyia shughuli zake kama ilivyo Ikulu ya Magogoni au Ikulu ya Chamwino, kumaanisha rais asipokuwa Ikulu ya Magogoni au Chamwino, akiwa pengine popote, anakuwa hayuko kazini, hivyo huku kwenye mitandao ya kijamii sasa kuna kelele za watu kutaka kulazimisha lazima wamuone rais Magufuli na kumsikia akitokea ama Ikulu ya Magogoni, au Ikulu ya Chamwino.
Ikulu sio eneo lolote specific, bali eneo lolote la makazi rasmi ya rais ambapo anaweza kutimiza majukumu yake ya urais, hivyo kwa Tanzania tuna ikulu ya Magogoni, Ikulu ya Chamwino, Ikulu ndogo ya Lushoto na karibu kila mkoa kuna Ikulu ndogo kama ya Arusha, Tanga, Morogoro, Moshi, Iringa, etc, na mikao ambayo haina Ikulu ndogo, then kuna state lodge.
Enzi za Nyerere aliamua yeye hakai Ikulu bali aliishi Msasani, kama angeamua kufanyia kazi zozote za urais hapo Msasani, then pangekuwa ni ikulu ya Msasani. Mwalimu Nyerere alikuwa anakwenda likizo Butiama, wakati akiwa Butiama, akiamua kufanya majukumu yoyote ya kirais, then hapo Butiama panakuwa ni Ikulu ya Butiama.
Kwa muda sasa rais Magufuli yuko kijijini kwake Chato, kwa vile huko Chato anatimiza majukumu yake yote ya urais, then hapo Chato ni ikulu ya Chato, as long as mambo yote yanakwenda, hizi kelele za watu kutaka kumuona rais Magufuli akiwa ikulu ya Magogoni au ikulu ya Chamwino za nini?.
Hii ni press release ya leo
View attachment 1426440
Hitimisho.
Watanzania wazalendo watapenda kumuona rais wao akitimiza majukumu yake ya urais akiwa popote na tungependa rais wetu awe free kukaa mahali popote anapopenda as long as it takes.
Kuna watu wenye akili fupi wanadhani uwepo wa rais Magufuli Chato ni kuikimbia Corona, it's not!, kwa sisi ambao ka Kolona ni kaugonjwa kadogo ambacho hakatishi na tusitishane, ikitokea ka kolona kamekuja, kametukuta watu tuko kwenye vacations zetu, hatuwezi kukatisha vacations zetu kwasababu ya ka kolona na wala hatuwezi kukuambia ka Kolona!.
Watanzania tupunguzeni kulalamika!, Chato ni kijijini kwa rais Magufuli na ni nyumbani kwa rais Magufuli, akiwa likizo au mapumzikoni mjini Chato anakuwa amepumzika kwake kama Mwalimu Nyerere alivyokuwa ana pumzika Butiama, Mkapa Mwinyi pale Mikocheni, Mkapa Masasi, Kikwete Msoga na sasa Magufuli Chato.
Lakini rais akifanya majukumu yake yoyote ya kiraisi akiwa eneo fulani, ikiwemo kuteua, kuapisha, kulihutubia taifa, kukutana na wakuu wa ulinzi na usalama au kuendesha cabinet, then eneo hilo linageuka ni Ikulu!. Hii ni Ikulu ya Chato!.
Paskali
Rejea
Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike - JamiiForums
Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums
Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!. - JamiiForums
Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali - JamiiForums
Thanks Dkt.P# CHATTLE PALACE# Stay HomeMsoga na Butiama ni makazi tuu ya rais, hazikuwahi kuwa Ikulu, kwasababu marais wale walikuwa wanakwenda kupumzika na wana pumzika kweli.
Chato ni Ikulu ya Chato kwasababu sasa sio kupumzika bali ni eneo la kazi, hivyo panageuka kutoka makazi binafsi na kugeuka ofisi with staff and amenities.
P
Duh! Kwa hiyo Rais ajae naye atakuwa na uwezo wa kufanyia kazi Chato? Au huyu akistaafu na hiyo Ikulu itaishia hapo hapoMsoga na Butiama ni makazi tuu ya rais, hazikuwahi kuwa Ikulu, kwasababu marais wale walikuwa wanakwenda kupumzika na wana pumzika kweli.
Chato ni Ikulu ya Chato kwasababu sasa sio kupumzika bali ni eneo la kazi, hivyo panageuka kutoka makazi binafsi na kugeuka ofisi with staff and amenities.
P
Mkuu Britanicca, acha uchokozi na uchochezi, tausi ni ndege tuu kama ndege wengine wote na wanapatikana mahali pengi.Ugawaji wa Tausi huu Ugawaji wa Tausi, kabla ya Raisi Hajagawa tausi kwa wastaafu, kuna hotel inaitwa JS imeshapatiwa hao Tausi kitambo,
Ni mmiliki nani na nani hasa aliruhusu wato Ikulu?
Britannica
Leo hii inaweza kuwa ndio the final and the last use of Ikulu ya Chato.Wanabodi,
Sasa rais Magufuli yuko Chato, watu humu wanaanza tena ujinga mwingine wa kupiga kelele za kijinga jinga, eti kwanini rais Magufuli yuko Chato kwa muda mrefu?!.
Tuambizane ukweli, Chato si ndio kwao rais Magufuli?. Kuna ubaya gani kama rais Magufuli atakuwa kwao kwa muda mrefu kadri atakavyo as long as anaendelea kutimiza majukumu yake mbalimbali kikamilifu?.
Japo Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa, lakini kiukweli Kiswahili ni kigumu hata kwa baadhi ya Waswahili wenyewe, hivyo kwa vile ni mmoja wa Watanzania tuliobahatika kuzaliwa mjini, kukulia mjini, kusomea mjini na sasa tunaishi mjini, wakati wengi wetu wamezaliwa vijijini, lugha yao kuu ya kwanza ni kilugha chao, kisha ndipo kije Kiswahili, lakini kwa sisi tulio zaliwa mjini, yaani "born town", Kiswahili ndio lugha yetu kuu ya kwanza, tunakimanya vilivyo, hivyo kunapotokea wajinga wajinga wasiojua vizuri lugha ya Kiswahili, hakuna ubaya, kujitolea kuwandeshea darasa la kuwafunza, ndicho ninachokifanya kwenye bandiko hili.
Wengi wasiojua Kiswahili barabara, wanadhani Ikulu ni eneo rasmi specific la makazi ya rais kuishi na kufanyia shughuli zake kama ilivyo Ikulu ya Magogoni au Ikulu ya Chamwino, kumaanisha rais asipokuwa Ikulu ya Magogoni au Ikulu ya Chamwino, akiwa pengine popote, anakuwa hayuko kazini, hivyo huku kwenye mitandao ya kijamii sasa kuna kelele za watu wajinga kutaka kulazimisha lazima wamuone rais Magufuli na kumsikia akitokea ama Ikulu ya Magogoni, au Ikulu ya Chamwino!. Hawa ni wajinga na huu ni ujinga!.
Ikulu sio eneo lolote specific, bali eneo lolote la makazi rasmi ya rais ambapo anaweza kutimiza majukumu yake ya urais, eneo hilo hugeuka Ikulu. Hivyo kwa Tanzania tuna ikulu ya Magogoni, Ikulu ya Chamwino, Ikulu ndogo ya Lushoto na karibu kila mkoa kuna Ikulu ndogo kama ya Arusha, Tanga, Morogoro, Moshi, Iringa, etc, na mikao ambayo haina Ikulu ndogo, then kuna state lodge.
Enzi za Nyerere aliamua yeye hakai Ikulu bali aliishi Msasani, kama angeamua kufanyia kazi zozote za urais pale Msasani, then Msasani napo pangekuwa ni ikulu ndogo ya Msasani. Mwalimu Nyerere alikuwa anakwenda likizo Butiama, wakati Mwalimu Nyerere akiwa Butiama, angeamua kufanya majukumu yoyote ya kirais, wakati akiwa Butiama kama kuteua, kuapisha, etc, then hapo Butiama panakuwa ni Ikulu ya Butiama.
Kwa muda sasa rais Magufuli yuko kijijini kwake Chato, kwa vile wakati rais Magufuli yuko huko Chato kwa mapumziko matupu, lakini wakati huo huo, anaendelea kutimiza majukumu yake yote ya urais, then hapo Chato ni ikulu ya Chato, as long as mambo yote yanakwenda, hizi kelele za watu wajinga kutaka kumuona rais Magufuli akiwa ikulu ya Magogoni au ikulu ya Chamwino za nini?!. Ni kelele za ujinga tuu!. Watanzania wenzangu tusiwe wajinga!.
😂Magufuli bwana. Anasema Corona ni ka ugonjwa kadogo tu, tumuombe Mungu, sasa yeye mbona amekimbilia Chato???
Ana imani haba. Aje Dar tuombe pamoja na tupige kazi pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,

Lakini rais akifanya majukumu yake yoyote ya kiraisi akiwa eneo fulani, ikiwemo kuteua, kuapisha, kulihutubia taifa, kukutana na wakuu wa ulinzi na usalama au kuendesha cabinet, then eneo hilo linageuka ni Ikulu!. Hivyo japo Chato ni kijijini kwa rais, lakini wakati akiwa Chato akafanya jukumu lolote la ki rais eneo hilo inabadilika na kugeuka ni Ikulu. Hii ni Ikulu ya Chato!.
Paskali
Mkuu jaap, your concern ni very genuine, na hii ni plus plus kwa Rais Samia as An African Woman, Tanzanian Woman na a Zanzibari lady, wanawake huwa hawajengi kwao, angekuwa ni mwingine, baada tuu ya yeye kuwa Rais wa JMT, tungeshuhudia ujenzi wa Ikulu ya Kizimkazi fasta!.Mh Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi kanishangaza baada ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini,, anatoka hotelini na msafara anaenda kwao, Je kwao haja jenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini kilo mita 7 kutoka kijijini kwao au ndo anatumia tozo zetu.