Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

Hatuwezi kubadili hili kwa sababu nyepesi tu za kisasa.
Kama Mwalimu Nyerere alijengewa makazi Butiama, Mwinyi, Mkapa, JK na JPM nao wakajengewa, hakuna ubaya Samia nae akajengewa Kizimkazi mahali alipozaliwa!.
Alafu sio wote wanazuiliwa kujenga kwao, usikariri
Hakuna mtu yoyote aliyesema kuna mtu yoyote amezuiliwa kujenga kwao, nimesema Kiafrika binti akiposwa na kuolewa, anaondoka kwao na kwenda kwa mume. Huyu binti Kizimkazi karudi kwao alipozaliwa lakini kutokana na changes in her status, hawezi kulala kijijini, imemlazimu alale hotelini 7 km away!. Hivyo nomeshauri from now, who ever atakayekuja kuwa rais wetu, kijiji chake alichozaliwa has to change status to accommodate the new status.
P
 
Upendeleo huu
No sio upendeleo ni kitu kinachoitwa "consideration". Mahali alipozaliwa rais lazima pawe na hadhi fulani, lazima pajengwe miundombinu ya kupokea ugeni wa rais wa JMT. Rais Samia atapata marafiki marais wenzie watakaotaka kumtembelea kijijini kwake, kujengwe accessibility ikibidi a small airstrips ya kutua gulfstream, kuwe na hoteli ya nyota 3-5 za ugeni wa rais. Tunaweza kumjengea zoo kuvutia watalii, TTB na Tanapa tuka promote Kizimkazi Tour.
Mimi mwenyewe, baada ya lile jambo langu ziara yangu ya kwanza ni Kizimkazi.

Acha uchawa mkuu
 
Kama Mwalimu Nyerere alijengewa makazi Butiama, Mwinyi, Mkapa, JK na JPM nao wakajengewa, hakuna ubaya Samia nae akajengewa Kizimkazi mahali alipozaliwa!.

Hakuna mtu yoyote aliyesema kuna mtu yoyote amezuiliwa kujenga kwao, nimesema Kiafrika binti akiposwa na kuolewa, anaondoka kwao na kwenda kwa mume. Huyu binti Kizimkazi karudi kwao alipozaliwa lakini kutokana na changes in her status, hawezi kulala kijijini, imemlazimu alale hotelini 7 km away!. Hivyo nomeshauri from now, who ever atakayekuja kuwa rais wetu, kijiji chake alichozaliwa has to change status to accommodate the new status.
P
Nashangaa watu wanapiga piga kelele ovyo, kwani akijenga kwao kuna shida? Na yule anayepiga kelele ovyo anaruhusiwa kujenga kwao. Acheni wivu, mkafanye kazi ninyi watu. Watu wamezoea vya bure, hivi wanadhani hadi Rais Samia alivyofika hapo ilikuwa rahisi? Magufuli kajenga Chato...wamekaa kimya, Mkapa, Mwinyi, Jakaya na Nyerere lakini kwa Samia imekuwa nongwa. Ebu mwacheni mama apige kazi.
 
Back
Top Bottom