Kisutu: Yericko Nyerere ahukumiwa jela miaka mitatu au faini ya Mil 5 kwa uchochezi, alipa faini na kuachiwa huru

Taarifa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu inasema kwamba Kada wa Chadema , Mkulima wa bamia , mfanyabiashara na Mtunzi mahiri wa vitabu vya ujasusi , Yerricko Nyerere ambaye ni mkazi wa Kigamboni , leo amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu Jela ama kulipa faini ya Shilingi milioni 5 za kitanzania kwa kosa la uchochezi .

Mungu mbariki Yerricko , Mungu ibariki Chadema .

====

Yericko Nyerere AHUKUMIWA KWENDA JELA.

Leo 23/03/2021mahakama ya hakimu mkazi kisutu, imemuhukumu, Yericko Nyerere kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya shilingi milioni tano (Tsh.5,000,000/=) katika kesi ya Uchochezi No 188/2017 ambayo ilihusu maneno yake kufuatia maazimio ya Baraza Kuu Chadema 2017 kuhusu UKUTA, Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi.

Muda huu Yericko Nyerere anapelekwa Gerezani Kama mfungwa.
Mtoa mada mbona umefurahi sana?
 
Aya pitisheni bakuli wajinga wachangie..

Bado yule anaitwa Hilda Newton.. Yule akamatwe apelekwe Segerea akabidhiwe Nyapara wa kiume amshughulikie wiki nzima. Akitoka hapo akili itamkaa sawa
Nao wakigeuka kushangilia matatizo yenu mnakuwa wakali na kuwakamata, the same unavyoona raha hapa mbaya wako kupatwa na mabaya the same to wao wanavyojisikia raha nyinyi kupatwa na mabaya
 
Kesi ya mwaka 2017.
ngoja tumalizie kwanza kesi zetu
Kafanya uchochezi gani?

Huu upepo wa kusingizia kesi za uchochezi kwa wananchi huru wenye mawazo tofauti wangeuzika pamoja na 'mwasisi' wake, la sivyo huyu Mama atabeba mizigo ya dhambi asiyostahili.
 
Back
Top Bottom