Kisutu: Robert Kisena afutiwa Mashtaka ya utakatishaji fedha na Mahakama. Yeye na Mkewe wakamatwa tena, wafunguliwa mashtaka mapya

Kesi za Nyumbani zinaongewa Kinyumbani
Wale walio Ndani toka 2016 wakae tu kina Kasanda na wengine wao ndio wametakatisha pesa
 
Update: 🙏👏👏

Nimeipenda sana hiyo kakamatwa tena kwa kesi ya uhujumu uchumi, nimefarijika sana, sasa mafisadi wa nchi hii watanyooka tu.. Kisena kafilisi na kuiba mali nyingi za serikali, kuanzia Mwanza cooperation huko, jizi sana, thnks serikali awamu ya tano.!!
 
Unafutiwa mashtaka....
Unakamatwa tena....
Unaongezewa mashtaka....
Hapo lazima utie akili.....

Ova
 
Hii gemu huijui kiundani,ungeijua ungekaa kimya na kuendelea na shughuli zako,wewe karirishwa wanaonewa,ila ukipata muda wa kuongea na Kisena and his family kama wakweli watakuabia afadhali ya nusu shari kuliko shari kamili,hapo kifungu wameponyeka,serikali imechukua chake na kifungo walistahili
Hukujibu swali langu!
 
Back
Top Bottom