Kisutu: Mahakama yatupilia mbali hoja za Meya wa Dar es Salaam kutaka asalie madarakani, yasema hoja za mwombaji hazina miguu ya kusimamia

Mkuu,
Hapana shaka Kinachoendelea kuhusu hili Sakata la kumung'oa Meya Mwita kwenye Kiti ni maelekezo toka Juu a.k.a Jiwe!
Mawaziri wote Tamisemi ni mapoyoyo wasiojielewa. Jafo ndiye aliyevuruga Uchaguzi wa SM na yule Mlevi Waitara malaya wa kisiasa aliehama toka CHADEMA kwa kuhongwa hawezi kusuluhisha mgogoro kama huu!
 
Back
Top Bottom